- Thread starter
- #41
Hapa ndipo pamefanya wananchi wasione mwingine zaidi ya Magufuli na CCM..wakilala wakiamka meli, mikopo, barabara na yote hayo ambayo yamewasaidia wananchi kwa maelfu kuinua chumi zao..Hui ndio ukweli..Kuna wananchi wengi vijijini ukimwambia Lissu sijui wanakushangaa..ndio Nani huyo, ukimwambia anataka uraisi, anakwambia wa kufanya nini...hakuelewi...ni aibu...anakuuliza Lissu ameshawahi kufanya nini Tanzania unamwambia alikuwa mbunge, anakuuliza Sasa ametusaidiaje, nawaambia alishasema serikali ya Magufuli itashtakiwa kwa kuzuia yale makontena ya makenikia ya wale wazungu, Yale waliokuwa wanasema yamejazwa mchanga mtupu. Ila Sasa namwambia Magufuli kapambana kawashinda..basi neno lake la mwisho anasema huyu ndio Rais Sasa...hayo ni baadhi ya mahojiano niliyoofanya yaani interview na wadau vijijini...Mitano tena ya Bombardier
Mitano tena ya Meli na vivuko
Mitano tena ya barabara
Mitano tena Madaraja
Mitano tena ya Masoko ya kisasa
Mitano tena ya Shule
Mitano tena ya hospitali na vituo vya afya na zahanati
Mitano tena ya kukamilisha SGR
Mitano tena ya SMEs
Mitano tena ya ajira za elimu,afya,fundi mchundo
Mitano tena ya Umeme Imara na vijiji vyote
Mitano tena ya pembejeo za Kilimo
Mitano tena ya chanjo za kizalendo za mifugo
Mitano tena ya miundombinu ya IT
Mitano tena ya Utalii wa kiutamaduni
Mitano tena ya AFCON na World CUP.
KWA CCM UTEKELEZAJI NI AHADI.
CHAGUA JPM
Tuishi kwa kukubaliana na ukweli utatuweka huru