CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

Oyoooo ,Tarehe 28 ni Kichapo cha Kishindo, CCM juu juu juu zaidi.[emoji172][emoji169][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]

Kiongozi usi panic basi ,utafiti ndo unaonyesha hivyoo. Alafu sio makosa yake ni makosa yenu, ndo mjichunguze kama aliyoyaongea ni ya uongooo....si hamtaki kukubali aibu zenu...

Kura yangu kwa Magufuli
Tutamrudisha mtalii Mweusi kwao Burigi akakae na Tausi..
IMG_20201018_181535.jpg
 
Habari Wana JF,

Nimewiwa kuandika uzi huu baada ya kumalizia tafiti yangu niliyofanya kwa muda mrefu katika majimbo ya uchaguzi yote Tanzania bara na Zanzibar...nasema CHADEMA byebye.. nimeshtushwa kumbe makelele yotee yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna kitu uhalisia kule mtaani..Ni maajabu na kweli..kwa hivyo sinabudi kuwaaga mapema. Sababu kuu ni hizi:

1) Hakuna sera wananchi wameambiwa ambazo ni za ukweli na ambazo zitaleta Taifa jipya..nasema hakuna

2) CHADEMA haina address ya uhakika iko wapi sehem ambayo ni makao makuu inayotegemewa mtu akikimbia na briefcase basi na ofisi itafungwa..

3) CHADEMA haina ofisi za wajumbe, Wala majimbo zinazoeleweka...kule chini kabisa chadema haipo na ndio kwenye wananchi wapiga kura..wao wamejinasibu kwenye Urais na ubunge kidogo

4) Kumbe CHADEMA haina wagombea katika majimbo takribani 60. Saaaa in maana huko kote chama tawala kinazoa kura..hakuna Cha ACT Wala baba yake CUF...Ni aibu..hiyo ACT yenyewe kwa bara ni Kama hakuna kitu..zero balance anategemea majimbo machache ya kusini na kigoma..nayo Ni bahati nasibu

5) CHADEMA hakina mtandao wa uongozi..wengi wao Ni wapiga kelele tuu bila sera kichwani.

6) CHADEMA wanamtegemea Lissu ambaye hajaweza kukuna mioyo ya wananchi. Wengi wanaohudhuria Ni kwenda kupoteza wakati to, entertainment Fulani vijijini.ukishaondoka wanakusahau, eti Kuna mtu anaitwa Tundu.

7) CHADEMA wamekula fedha nyingi Sana ambazo hazina idadi..mabilioni kadhaa kupitia michango, mtandao wa chadema,..mapato ambayo wameshapata hayalingani na matumizi..fedha zinaliwa kiaina.

8) Inahisiwa Kuna mtafaruku ndani ya chadema..na ndio maana inahisiwa Tundu hajawahi gusa ofisi za Ufipa tangu arudi Tanzania..yeye mwenyewe hawaamini hao waliopo kina Mwenyekiti, na wengine nahii Ni kwa sababu za taarifa mbalimbali zilizosababisha TL apigwe risasi..zipo taarifa nyingi za kitafiti nitaziweka humu muda ukiruhusu.

Asalaam aleikhum Waungwana
Comments reserved
 
Waswahili husema

"Mfa maji haishi kutapatapa"
Kumbe ndio mmekuja eeeeh!!! baada ya jana kuamushwa!! mlikuwa mmepoteana kabisaaa! humuna hoja bali vihoja!! Ccm kwisha habari yake!! Magufuli kwisha habari yake!! buku 7 hamtakipwa tena!! sasa ndio mtajua kuwa huku mtaani maisha ni magumu!!
 
kaka inaleta uchungu sana mim hapa ni chadema ila nakwambia mpaka hivinsasa sijamsikia mgombea wetu akisema sera zaidi ya kushanbulia mtu binafsi.ila nilikaa chin nikajiuliza hivi sisi tunaweza kuja na sera gan ambayo inaweza kuwa haipo.ntukicheki umeme upo kila kona,miundombinu mnyonge mnyongen jamaan ma barabara ya Lami kila kona mpakq Tandale ali maua kwetu huku Lami tupu.yaan hakuna sehem tunaweza gusa tutoboe.
sasa tumekaa vijana hapa nikasikia tukomae na uhuru haki.yaaan kweli hio ndio sera mtu wa kijijin anaeza elewa???
nakuunga mkono sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wewe jomba ndio chizi..sikuelewi unahoja gani, maana hapa imetolewa matokeo ya tafiti, sio Mimi ni kutoka kwa wananchi.tena walio wengi wa vijijini na ndipo kwenye majority votes .Sasa sio Mimi nakushangaa na uchiz uliouanzisha
Narudia kauli yangu ile ile, na hili nakwambia kwa mara ya mwisho

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndo watu ambao wameshikwa akili zao na viongozi wao, kwanza nikuulize unajua faida ya hivyo vitu vyote ulivyozungumza, anty li na viongozi wote wa chadema wanajua sema wanawalaghai nyinyi ambao akili zenu fupi ilimradi muwachague.

Nchi zilizoendelea toka miaka hiyo mpaka leo bado umasikini kwao upo...na ndo nchi ambazo hazikandamizwi ziko huru kufanya majambo yao na kudidimiza wa Afrika kwa Rasilimali zetu ,zikiwanufaisha wao.
Hawa watu ndo waliochangia Afrika ikiwemo Tanzania kuchelewesha Maendeleo leo hii ametokea mkombozi wawa Tanzania ambae anatetea masilahi ya wa Tanzania mfano, tumeona kwenye madini, corona , n.k tumuone hafai, aisee ....
Alafu lijitu tu kama anty li tumpe kura zetu akaturudishe kwa mabeberu ni kitu ambacho hakiwezekani.

Kura yangu kwa Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Naomba uniambie unajua faida za ndege? Na miradi mikubwa ambayo Dkt Magufuli ameifanya?
kweli bibi J kawaroga sio kwa mahaba hayo mnayompa
 
Propaganda za nini? [emoji23] unatapa tapa kama kuku anayekata roho.
Just cool down ...tartiiiiibu mtaelewa tu
 
Habari Wana JF,

Nimewiwa kuandika uzi huu baada ya kumalizia tafiti yangu niliyofanya kwa muda mrefu katika majimbo ya uchaguzi yote Tanzania bara na Zanzibar...nasema CHADEMA byebye.. nimeshtushwa kumbe makelele yotee yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna kitu uhalisia kule mtaani..Ni maajabu na kweli..kwa hivyo sinabudi kuwaaga mapema. Sababu kuu ni hizi:

1) Hakuna sera wananchi wameambiwa ambazo ni za ukweli na ambazo zitaleta Taifa jipya..nasema hakuna

2) CHADEMA haina address ya uhakika iko wapi sehem ambayo ni makao makuu inayotegemewa mtu akikimbia na briefcase basi na ofisi itafungwa..

3) CHADEMA haina ofisi za wajumbe, Wala majimbo zinazoeleweka...kule chini kabisa chadema haipo na ndio kwenye wananchi wapiga kura..wao wamejinasibu kwenye Urais na ubunge kidogo

4) Kumbe CHADEMA haina wagombea katika majimbo takribani 60. Saaaa in maana huko kote chama tawala kinazoa kura..hakuna Cha ACT Wala baba yake CUF...Ni aibu..hiyo ACT yenyewe kwa bara ni Kama hakuna kitu..zero balance anategemea majimbo machache ya kusini na kigoma..nayo Ni bahati nasibu

5) CHADEMA hakina mtandao wa uongozi..wengi wao Ni wapiga kelele tuu bila sera kichwani.

6) CHADEMA wanamtegemea Lissu ambaye hajaweza kukuna mioyo ya wananchi. Wengi wanaohudhuria Ni kwenda kupoteza wakati to, entertainment Fulani vijijini.ukishaondoka wanakusahau, eti Kuna mtu anaitwa Tundu.

7) CHADEMA wamekula fedha nyingi Sana ambazo hazina idadi..mabilioni kadhaa kupitia michango, mtandao wa chadema,..mapato ambayo wameshapata hayalingani na matumizi..fedha zinaliwa kiaina.

8) Inahisiwa Kuna mtafaruku ndani ya chadema..na ndio maana inahisiwa Tundu hajawahi gusa ofisi za Ufipa tangu arudi Tanzania..yeye mwenyewe hawaamini hao waliopo kina Mwenyekiti, na wengine nahii Ni kwa sababu za taarifa mbalimbali zilizosababisha TL apigwe risasi..zipo taarifa nyingi za kitafiti nitaziweka humu muda ukiruhusu.

Asalaam aleikhum Waungwana
Hawa ndiyo vijana wa ccm mpya.

Mungu wasamehe

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
[/QUO KWA JINA LA YESU KRISTO , ACHA UONGO !!!!!
 
Endelea kujifariji Kilaza, Utajua hujui
 
Mbona Chadema ilishakufa,mbona unajinyea bila sababu,Tulia dawa iingie.
 
Unashangaza, mbona unaangaika sana kama hakuna uhalisia mtaani ungetakiwa ufurahi sasa
 
Unataka uhalisia upi sasa, watz awataki, mabeberu awawtaki
 
Attachments

  • Screenshot_20201019_095904.jpg
    Screenshot_20201019_095904.jpg
    90.2 KB · Views: 18
  • Screenshot_20201018_163151.jpg
    Screenshot_20201018_163151.jpg
    59 KB · Views: 12
  • Screenshot_20201018_154328.jpg
    Screenshot_20201018_154328.jpg
    92.1 KB · Views: 13
Hahaha mtaa gani kuna uhalisia wa ccm?!

Hata Lumumba hampati kura hata moja,licha ya kuwa na ofisi pale.

Wananchi for Chadema and Lisu.

Nyie nendeni mka PURICHINGI and we are not REACHABLE.
 
Kumbe ndio mmekuja eeeeh!!! baada ya jana kuamushwa!! mlikuwa mmepoteana kabisaaa! humuna hoja bali vihoja!! Ccm kwisha habari yake!! Magufuli kwisha habari yake!! buku 7 hamtakipwa tena!! sasa ndio mtajua kuwa huku mtaani maisha ni magumu!!
Umeninukuu vibaya mkuu, hiyo kauli ni kwa ajali ya mtoa mada na CCM yake
 
Back
Top Bottom