CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

[emoji23][emoji23][emoji23]

CCM mpo frustrated balaa!

Leo Hapa Maalim Seif, Kule Mbowe, Huku Lissu Pale Sheikh Ponda.

Mtatapika Dagaa![emoji23][emoji23]
Mlokuwa frustrated ni nyie , mnapanic sana baada ya kuona vyama vyemu vinaenda kufa, mnajikuta mnaongea mambo ya ajabu, Mnafikiria pesa zenu mmeteketeza alafu hampati kitu, mtazitapika hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Toka kampeni zianze sijasikia chama chochote kikinadi sera zake zaidi ya Matusi tu na kuzungumza aliyoyafanya Dkt Magufuli.

Kura yangu kwa Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Sasa mnatusumbulia nn kututumia masms kwenye Simu zetu na unajuwa upinzani ni dhaifu?
 
Oyoooo ,Tarehe 28 ni Kichapo cha Kishindo, CCM juu juu juu zaidi.[emoji172][emoji169][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]

Kiongozi usi panic basi ,utafiti ndo unaonyesha hivyoo. Alafu sio makosa yake ni makosa yenu, ndo mjichunguze kama aliyoyaongea ni ya uongooo....si hamtaki kukubali aibu zenu...

Kura yangu kwa Magufuli
 
Mwenyewe baada ya kushiba kande na kuvimbiwa akauna uje jf kujamba au siyo.
Jomba maadam umeamua kuwa mkereketwa wa siasa jifunze kukubaliana na ukweli mchungu Kama haya matokeo ya tafiti...unalalamika kwani una mkataba na wapiga kura au wafuasi..au unategemea kujipigia kura wewe mwenyewe, mmeo, wanao na kukusanya ndugu ili kutegemea kishinda. Kwani vyama vinginevyo vinavyoshindwaga sip vyama...mnapiga kelele utadhani wapiga kura mmewapa mikataba..mpiga kura Leo anaweza kukuchekea lakini anapogeukia boksi la kura anakuchinja..
Jiandaeni na matokeo Kama kipindi kile Cha Safari ya matumaini..mkajipange upya
 
Waanze kufungasha vilago vyao mapemaaaaaaaaaa....hatutaki shida
 
Mitano tena ya Bombardier
Mitano tena ya Meli na vivuko
Mitano tena ya barabara
Mitano tena Madaraja
Mitano tena ya Masoko ya kisasa
Mitano tena ya Shule
Mitano tena ya hospitali na vituo vya afya na zahanati
Mitano tena ya kukamilisha SGR
Mitano tena ya SMEs
Mitano tena ya ajira za elimu,afya,fundi mchundo
Mitano tena ya Umeme Imara na vijiji vyote
Mitano tena ya pembejeo za Kilimo
Mitano tena ya chanjo za kizalendo za mifugo
Mitano tena ya miundombinu ya IT
Mitano tena ya Utalii wa kiutamaduni
Mitano tena ya AFCON na World CUP.

KWA CCM UTEKELEZAJI NI AHADI.
CHAGUA JPM
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Hiki chama cha Mbowe,chama saccos, chama cha mfukoni kinataka eti kushika dola. Ili wauze hizi ndege, Reli,bwawa la nyerere pamoja na kuiuza nchi kwa kuigawa majimbo kwa kina Robert Amsterdam mshindwe na mlegee. Watanzania hawawezi kufanya upuuzi huo, kupeleka wahuni ikulu, wasagaji, mashoga hapana. Wote twendeni na Mzalendo JPM.
 
Nenda Lumumba jukwaa hili huliwezi huna hoja.
 
Haha kweli Lissu kawashika penyewe, yaani sa hivi jiwe limepanick limeanza hadi kutuma message kwenye namba ya simu ya kila mtu eti "nawaomba kwa unyenyekevu" hahaha unyenyekevu my ass. Hakuna mtu anafall for uongo ambao amekaa anahubiri kila siku, ovyo kabisa aende akalale kura atapigiwa na vilaza tu.
 
Nimesema chadema byebye baada ya tafiti makini niliyoofanya. Kuna neno geni hapo..ndoto zinakujaje hapa tena yarabi toba..mnaogopa nini..aibu au
Kama ulichoandika ndiyo tafiti makini basi lazima utakua uliishia darasa la nne. What a waste of brain power
 
Hivi tafiti unaifahamu au ndiyo ile Tanzania kila mtu chief, boss, kamanda nk kwa maana kila mtu anaweza fanya tafiti maana hivyo yako mashirika utasikia tumefanya tafiti. Wewe hela ya kula chakula kweli unayo maana unavyosema umezunguka Tanzania nzima sizani unakazi ya kukupa kipato.
Hebu kama Mungu amekujalia ukawa umefanikiwa kwenda kusoma binadamu wa kwanza alikuwa nyani na Brazil wanaongoza kwa kilimo cha miwa basi kuwa chembe kidogo za ufahamu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

CCM mpo frustrated balaa!

Leo Hapa Maalim Seif, Kule Mbowe, Huku Lissu Pale Sheikh Ponda.

Mtatapika Dagaa![emoji23][emoji23]
Yaani wanahaha utadhani kuku anaetafuta pakutagia
 
Hawa ndo watu ambao wameshikwa akili zao na viongozi wao, kwanza nikuulize unajua faida ya hivyo vitu vyote ulivyozungumza, anty li na viongozi wote wa chadema wanajua sema wanawalaghai nyinyi ambao akili zenu fupi ilimradi muwachague.

Nchi zilizoendelea toka miaka hiyo mpaka leo bado umasikini kwao upo...na ndo nchi ambazo hazikandamizwi ziko huru kufanya majambo yao na kudidimiza wa Afrika kwa Rasilimali zetu ,zikiwanufaisha wao.
Hawa watu ndo waliochangia Afrika ikiwemo Tanzania kuchelewesha Maendeleo leo hii ametokea mkombozi wawa Tanzania ambae anatetea masilahi ya wa Tanzania mfano, tumeona kwenye madini, corona , n.k tumuone hafai, aisee ....
Alafu lijitu tu kama anty li tumpe kura zetu akaturudishe kwa mabeberu ni kitu ambacho hakiwezekani.

Kura yangu kwa Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Naomba uniambie unajua faida za ndege? Na miradi mikubwa ambayo Dkt Magufuli ameifanya?
 
[emoji23][emoji23]Jambajamba mnaipata nyie ,maana kila kukicha mnalia na mabeberu wenu wawasaidie,
Kijana shtuka chagua Maendeleo,Amani,
Kura yangu Kwa Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM
Maendeleo yapi kutoka CCM? Miaka 60 bado mnazungumzia eti habari ya maji kweli? Poor Chichiem kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…