CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

Hapa ndipo pamefanya wananchi wasione mwingine zaidi ya Magufuli na CCM..wakilala wakiamka meli, mikopo, barabara na yote hayo ambayo yamewasaidia wananchi kwa maelfu kuinua chumi zao..Hui ndio ukweli..Kuna wananchi wengi vijijini ukimwambia Lissu sijui wanakushangaa..ndio Nani huyo, ukimwambia anataka uraisi, anakwambia wa kufanya nini...hakuelewi...ni aibu...anakuuliza Lissu ameshawahi kufanya nini Tanzania unamwambia alikuwa mbunge, anakuuliza Sasa ametusaidiaje, nawaambia alishasema serikali ya Magufuli itashtakiwa kwa kuzuia yale makontena ya makenikia ya wale wazungu, Yale waliokuwa wanasema yamejazwa mchanga mtupu. Ila Sasa namwambia Magufuli kapambana kawashinda..basi neno lake la mwisho anasema huyu ndio Rais Sasa...hayo ni baadhi ya mahojiano niliyoofanya yaani interview na wadau vijijini...
Tuishi kwa kukubaliana na ukweli utatuweka huru
 
Hamtaki kukubali ukweli ee.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mi nakwambieni ninyi bila mbeleko ya Police+NEC= KUSHINDWA Tena asubuhi na mapema,kwanza mpaka sasa chama chenu kimekosa SERA yaani mpo mpo tu aseee
 
Unashauri nini kifanyike?
Unaonaje turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?
 
Hawa jamaa wapo zaidi humu Jf. Zaidi ya hapo hakuna kitu, nikichapo kitakatifu kitawakuta na watawajua haswa waTZ. Tukutane 28oct. Ni Kati ya wazalendo na mabeberu
 
Allency
sikuelewi unahoja gani, maana hapa imetolewa matokeo ya tafiti, sio Mimi ni kutoka kwa wananchi. tena walio wengi wa vijijini na ndipo kwenye majority votes .Sasa sio Mimi nakushangaa
 
Chama Cha Mapumziko mna vituko! Nyie ni sawa na vitoto vinavyotukana wapita njia na vipo ndani ya ukuta na geti lililoandikwa kuna mbwa mkali tokeni nje achieni tume iwe huru na polisi muone kama mnakubalika bado! NKT
 
Kwani Kati ya ccm ńa chadema Nani mtawala? Umedata kidogo hapo, labda ungesema ccm bye bye kwasababu Ndo mtawala.
CCM BYE BYE [emoji112] [emoji112]
 
Hahahaha ACT kitakuwa chama kikuu Cha upinzani, mkubali tu hali halisi..ndio siasa hiyo..kwani mna mikataba na wapiga kura..
Ifanye tafti kwa Elimu gani uliyonayo ,wewe ni Malaya wa kisiasa period.

Unatafuta uteuzi tu! Please wakupe 7000/- ulete post nyingine

MH.LISSU TUNDU kura yangu na ukoo wangu unayo
 
Hahahahahaha hawa ndo wanaoamka na kula viporo vya ugali ! Lissu washa moto chini....
 
Uwepo wa pemanent addrees na ofisi nzuri nk hazima maana kwa sasa kwa kuwa kwa sasa hakuna chama kushika hatamu. By the way Kitendo cha CCM kuwa na permanent and known address kwa miaka 59 hakujasaidia chochote zaidi sana kila tukiamka leo ni bora ya jana, wanaCCM wa leo wanawalaumu wanaCCM wa jana
 
Kinyaa hatakusoma utopolo huu unaifutaje chadema wakati umefanya haya
Umedhulumu wavuvi
Vyeti feki
Ajira kupandisha madaraja mishahara hakuna+kikokotoo
Bomoabomoa bila fidia
Korosho pesa Sao
Kahawa
Pamba
Rambirambi tetemeko sikuleta mm ukasahau hata pesa hukuzitoa wewe
Acha kuandika ujinga wewe kama upo kota hujui mtaani huku mzunguko haupo kabisa andikeni mjuavyo kura haziibiwi namashehe mmewafunga bila kosa kabisa waislam unafikiri wanafanyaje
 
Naunga mkono hoja.
 
Tafiti au tume?
 
[emoji23][emoji23]Jambajamba mnaipata nyie ,maana kila kukicha mnalia na mabeberu wenu wawasaidie,
Kijana shtuka chagua Maendeleo,Amani,
Kura yangu Kwa Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM
Amani gani unaizungumzia hapa? Kuteka watu, kunyanayasa, utesaji, ubaguzi, dharau na kejeli na mauaji na kupiga watu marisasi ndio amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…