CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

Nashukuru sana!! askari mwenzio akijeruhiwa, unambeba!! humwachi porini afie!!
Ni kweli mkuu, hawa CCM wa humu kuna muda wanaandika vitu kama kujifariji tu wakati uhalisia wanaujua kuwa hali si nzuri upande wao, ndo maana nawaona tu kama mfa maji asoisha kutapatapa.
 
Washindi wa mitandaoni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…