CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

Kuingia IKULU Kwa chama tofauti na CCCm ni kupata fair ground kwenye Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya.

Ingawa kumtukana Magu MZALENDO ni kujipunguzia kura ambazo zingesaidia kupata ruzuku kubwa na wabunge viti vya Bure!!
 
U
Ushauri bora kabisa huu.. Na endapo wataufuata watapata sapoti ya watu wengi sana na watafanikiwa mapema kabisa..
 
Kutatua hili,

Kwakuwa CDM haijawahi kurudia mgombea Urais,

CHADEMA inabidi kuja na mgombea tofauti na Lissu ambaye atauuganisha makundi yote ya wazalendo ndani na nje ya CCM kupata kura zao.

Na mgombea huyo ni........ ..

Ngoja niweke akiba ya maneno.
 
Achana na mentality ya kijinga!!
 
Huu ushauri wako ni wa kupuuzwa!! Yaan akumbatiwe ili washike ikulu 🤣🤣🤣 kila mtu atapigwa spana pale alipofanya makosa. Uzuri LISSU hauishi unafiki. Walisemwa mpaka mitume enzi hizo ndo ije kua mwanadam
Kama huna utafiti, nyamaza!
 
Hata mimi nimewaambia hivyo mara nyingi sana. JPM hawezi kutoka mioyoni mwa Watanzania kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…