Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpuuzi mimi ni CCM Pengine hata kabla wazazi wako hawajakuzaa, kutofautiana mawazo sio kigezo cha kuja na mapovu kama haya.Hii sentesi ni ya kijinga!
Acha kubagua watu mpuuzi wewe! Uongozi mbaya ukiwa umefanywa na mwanaume ndio sahihi kuchukiwa? Ukifantika chini ya mwanamke, ukisemwa inakuwa ni kuisema jinsia yake?
Na aewe ulienda shule kusomea upuuzi?
Kushindwa ni kushindwa tu, na ubaya wa kiongozi yeyeto utasemwa bila kujali jinsia!
Ele
Mkuu! Umemaliza hoja!
Mungu akutunze! Wasipokuelewa hawa mabehewa wa chadema, basi tena
Hapana, katiba hata ya sasa hilo liko wazi, usitake kuisingizia.Kwa katiba yako sasa uongozi ni mtu sio watu
Dawa yako nishaisema! Njoo na lingineWewe mpuuzi mimi ni CCM Pengine hata kabla wazazi wako hawajakuzaa, kutofautiana mawazo sio kigezo cha kuja na mapovu kama haya.
Pumbafu, acha ujuaji panyabuku.Narudia tena, nenda kaiulize kamati iliyoundwa kuchunguza hilo halafu ulete huo upuuzi wako hapa
Huo ndiyo ukweli, na imetushinda sababu ya kuishi kimazoea na hatuendani mahitaji ya kinyakati.Nimekuelewa mkuu
Ila kiukweli nyinyi nchi imewashinda boss!
Salute kwako mkuu!Huo ndiyo ukweli, na imetushinda sababu ya kuishi kimazoea na hatuendani mahitaji ya kinyakati.
Chama tawala kinachotakiwa kuisimamia serikali katika kuiletea nchi maendeleo, chenyewe kipo very local, angalia organizations ndani ya Chama, hata hazieleweki zinachofanya, bado hizo party wings yanayoendelea ndani yake, ni upupu mtupu.
Angalia uwezo wa hoja kati ya vijana waliokuzwa ndani ya upinzani na wanaokuzwa ndani ya CCM, unaweza ukadhani wanaishi nchi mbili tofauti
Sio kweli kwa Tanzania hii, wapo wajinga wengi tu wenye kuongozwa na mfumo dume. Na wengi wao ni wale ambao hawakutegemea kuwa JPM angeaga dunia March 2021.Dawa yako nishaisema! Njoo na lingine
Uozo wa kiongozi hauna uhusiano na jinsia yake! Wewe unaelewa kiswahili au ni mburundi wewe!!!
Umeandika vzr, nimewahi kuwashauri hivi hivi pia. Big upNawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo
Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla
watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi uliopo ambao umeshindwa kabisa kukidhi matarajio ya wengi
Wanahasira na ccm na hasa kwa kuacha kwa maksudi Rais wa mioyo ya wengi hayati JPM kutukanwa bila wao ccm kujitokeza kukemea jambo hilo
Yako mengi ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha bila sauti yoyote ya kiongozi wa juu,
Hatukatai, yapo mambo ambayo kipindi cha mwendazake yalikuwa yakitokea na kuwa kero kwa wananchi, ila Rais alijitokeza hadharani kwa haraka ama kukemea na ama vinginevyo!
Kanda ya ziwa kwa sasa, CCM haitakiwi hata kwa dawa, ninao mabibi zangu ambao kabla ya utawala huu, ilikuwa ukiwaambia wakakipigie kura chama cha upunzani, ilikuwa unaambulia matusi
Nenda sasa uwaulize wazee kuihusu CCM, majibu utakayopata utaaungana na mimi kusema, watu wameichoka mno ccm na hawaitaki
CHADEMA, kumtukana Magufuli ni kujiharibia, kwani mkimeza tu yale mnayodhani hayakuwa sawa mtapungukiwa nini? Mbona ya kina Lowasa mliyameza na kumpa nafasi ya kugombea urais?
Mnachotaka nyinyi ni nini?
Kumbukeni, kampeni na machapisho yenu ya nyuma kipindi cha uchaguzi uliopita, nanukuu,
Mlisema, kwa sasa, tutatumia mbinu zote ili kuitoa ccm madarakani, hata kama njia za kishetani, na ndiyo maana ya kula matapishi yenu kumweka Lowasa kuongoza njia kuing'oa ccm
Kwa sasa mbashindwa nini? Mbona mnawakasirisha wananchi walio wengi na ambao huwezi kuwaambia chochote kuhusu JPM wakakuelewa zaidi watakuona kituko?
JPM ni lulu yao wananchi wengi hasa wa maisha ya chini, na wananchi wa maisha ya chini, ndio waliowengi na ndio wanaweza kuwaondoa ccm kwa uwingi wa kura zao! piga ua galagaza, JPM, ni lulu yao tu,
Hata mchukie kuona watu wakimpenda JPM, iko hivyo na hamtawabadiri kwa lolote
Nimewapuuza sana kuingiza maneno na shombo ya kijinga kumhusu JPM
Na bila shaka mmeona matusi yanayoporomoshwa kwenye ukurasa wa Tundu lissu
Kwani sukuma gang ni matokeo ya nani?Lissu endelea kugawa dozi kwa hawa sukuma gang hadi wateme ndoano🤣🤣🤣
Siko katika wote hao uliowataja, lakini bado simkubali. Angekuwa anaendesha hayo yote kwa haki bila double standard ningemkubali. Lakini aliendesha nyingi za hizo operations zake kwa uonevu mkubwa.Ni pamoja na kuchezea kibano wezi, wauza ngada, wala rushwa, wanufaika wa watumishi hewa na watumishi hewa kwa ujumla
Na ikiwa katika hayo ulikuwepo, abadani huwezi kumkubali hata kidogo
Chadema hakuna mwenye akili ya kuelewa ulichoandika. 2025 watashindwa Uchaguzi Mkuu na kusingizia kuibiwa kura!!!Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo
Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla
watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi uliopo ambao umeshindwa kabisa kukidhi matarajio ya wengi
Wanahasira na ccm na hasa kwa kuacha kwa maksudi Rais wa mioyo ya wengi hayati JPM kutukanwa bila wao ccm kujitokeza kukemea jambo hilo
Yako mengi ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha bila sauti yoyote ya kiongozi wa juu,
Hatukatai, yapo mambo ambayo kipindi cha mwendazake yalikuwa yakitokea na kuwa kero kwa wananchi, ila Rais alijitokeza hadharani kwa haraka ama kukemea na ama vinginevyo!
Kanda ya ziwa kwa sasa, CCM haitakiwi hata kwa dawa, ninao mabibi zangu ambao kabla ya utawala huu, ilikuwa ukiwaambia wakakipigie kura chama cha upunzani, ilikuwa unaambulia matusi
Nenda sasa uwaulize wazee kuihusu CCM, majibu utakayopata utaaungana na mimi kusema, watu wameichoka mno ccm na hawaitaki
CHADEMA, kumtukana Magufuli ni kujiharibia, kwani mkimeza tu yale mnayodhani hayakuwa sawa mtapungukiwa nini? Mbona ya kina Lowasa mliyameza na kumpa nafasi ya kugombea urais?
Mnachotaka nyinyi ni nini?
Kumbukeni, kampeni na machapisho yenu ya nyuma kipindi cha uchaguzi uliopita, nanukuu,
Mlisema, kwa sasa, tutatumia mbinu zote ili kuitoa ccm madarakani, hata kama njia za kishetani, na ndiyo maana ya kula matapishi yenu kumweka Lowasa kuongoza njia kuing'oa ccm
Kwa sasa mbashindwa nini? Mbona mnawakasirisha wananchi walio wengi na ambao huwezi kuwaambia chochote kuhusu JPM wakakuelewa zaidi watakuona kituko?
JPM ni lulu yao wananchi wengi hasa wa maisha ya chini, na wananchi wa maisha ya chini, ndio waliowengi na ndio wanaweza kuwaondoa ccm kwa uwingi wa kura zao! piga ua galagaza, JPM, ni lulu yao tu,
Hata mchukie kuona watu wakimpenda JPM, iko hivyo na hamtawabadiri kwa lolote
Nimewapuuza sana kuingiza maneno na shombo ya kijinga kumhusu JPM
Na bila shaka mmeona matusi yanayoporomoshwa kwenye ukurasa wa Tundu lissu
Kwani CHADEMA hata wakishinda, kwa mfumo huu, wewe unaona CCM watakubali na kuacha kuleta figisu?Chadema hakuna mwenye akili ya kuelewa ulichoandika. 2025 watashindwa Uchaguzi Mkuu na kusingizia kuibiwa kura!!!
Ingawa si kwa asilimia zote nachokihisi!Kwani CHADEMA hata wakishinda, kwa mfumo huu, wewe unaona CCM watakubali na kuacha kuleta figisu?
Kura gani unaongelea boss, wakati Magufuli aligeuza amri yake ndio inaamua nani awe kiongozi? Wakati Magufuli ananajisi chaguzi mliona yuko sahihi. Nadhani hamkujua kuwa kile ni kitendo kibaya sana cha kutoheshimu maamuzi ya wananchi. sasa hivi ameshaotesha mbegu mbaya ya kutoheshimu maamuzi ya wananchi, ww bado unaleta vitisho hewa vya wapiga kura.Kwani sukuma gang ni matokeo ya nani?
Ya ccm ama chadema?
Kama ni matokeo ya ccm, huwezi kufurahia hili kama mwana ccm! Utakuwa mjinga wa mwisho kabisa na usiyeelewa kabisa nini maana ya siasa
Kula ya mwanasiasa inatokana na kutegemea sana wapiga kura!
Na wakati ukiomba kura, unatazamia makundi yote yakuunge mkono ili uendelee kula!
Kama hutaki haya, basi wewe ni mjinga tu na usiyejua lolote
Ingawa si kwa asilimia zote nachokihisi!Kwani CHADEMA hata wakishinda, kwa mfumo huu, wewe unaona CCM watakubali na kuacha kuleta figisu?
OkKura gani unaongelea boss, wakati Magufuli aligeuza amri yake ndio inaamua nani awe kiongozi? Wakati Magufuli ananajisi chaguzi mliona yuko sahihi. Nadhani hamkujua kuwa kile ni kitendo kibaya sana cha kutoheshimu maamuzi ya wananchi. sasa hivi ameshaotesha mbegu mbaya ya kutoheshimu maamuzi ya wananchi, ww bado unaleta vitisho hewa vya wapiga kura.
Hakuna kiongozi wa CCM ataacha kutumia mbinu zile chafu kubaki madarakani. Magufuli alifanikiwa sana kushusha morali ya wapiga kura, na kwa sasa chaguzi zimepoteza thamani yake, na hakuna anayejitambua ataenda kupoteza muda wake kwenye mstari wa kura eti anachagua kiongozi. Kaeni mahali mtafakari mahali dhalimu alipora nguvu ya wananchi.
Ingawa si kwa asilimia zote nachokihisi!
Ila ninaamini! Sukumagang, karibu wote ni wana ccm na tena kwa asili yao ni wanamsimamo mkali!
Chadema ikiwawini hao, ni rahisi kuendesha operation za maandamano kwa nchi nzima kwa mafanikio makubwa zaidi
Na lingine ni hivi!
Kadiri upepo unavyounguruma, ndivyo unavyompa wasiwasi mwente nyumba mbovu
Hilo kundi la waoga ndio unataka cdm waungane nalo? Sukuma gang wangekuwa na nguvu hiyo wangekaa hadharani na kuonyesha msimamo wao. Unataka kuonyesha sukuma gang ni kundi lenye nguvu sana, lakini halithubutu hata kujipambanua!Ingawa si kwa asilimia zote nachokihisi!
Ila ninaamini! Sukumagang, karibu wote ni wana ccm na tena kwa asili yao ni wanamsimamo mkali!
Chadema ikiwawini hao, ni rahisi kuendesha operation za maandamano kwa nchi nzima kwa mafanikio makubwa zaidi
Na lingine ni hivi!
Kadiri upepo unavyounguruma, ndivyo unavyompa wasiwasi mwente nyumba mbovu
Mkuu!Sitaki kuwaita Sukuma Gang, hili jina linachafua kabila letu watu wengi sana ambao hatukumkubali Magufuli.
Kati ya mwanasiasa anayekwepa kusema ukweli ili awachote hao wafuasi wa Magufuli kwa hadaa, na anayesema ukweli hata kama utawachukiza hao wafuasi wa Magufuli, utamuheshimu zaidi yupi?
Kati ya mwanasiasa mwenye hila za uongo ambaye anajali kushinda uchaguzi kuliko kusema ukweli, na yule ambaye anasema ukweli tu, hata kama utamfanya asishinde uchaguzi, unamuheshimu na kumkubali yupi hapo?