Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Sio mtolea tu wa Temeke hata huyu Mtulia wa Kinondoni kaomba arudi cuf ...nasikia wako kwenye mazungumzo ya mwisho mwisho ili warejee cufEti Abdallah Mtolea ameshaomba kurejea Cuf?
Dogo janjaNani mlisikia atakuja Chadema hii ya kilevilevi?
bora mbowe kuliko yule aliyemwekea mangula sumu ili amfukuze membeChadema mwenye maamuzi ya mwisho ni Mbowe!
Dah wamama wanaibeba chadema vema kabisa. Wamama ni watu wenye misimamo thabiti hadi raha.View attachment 1520722
Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.
Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi hiyo, hii ni kwa sababu wengi hawaaminiki na wakifanikiwa hawachelewi kujiuza kwa bei ya kutupwa.
Binafsi naunga mkono msimamo huo wa kikakamavu
We unaonekana hufatilii siasa za bongo. Yaani hujui wanaozungumziwa hapa?nyalandu anaangukia kundi gani,la mamluki au wanazi wa chama?
vp kuhusu magufuri huko ccmChadema mwenye maamuzi ya mwisho ni Mbowe!
hujawahi kukatwa na ccm maana wewe hujawahi kugombea chochote , wewe tu tena ni mshika jezi tena kwa kulipwa elfu 7Nani mlisikia atakuja Chadema hii ya kilevilevi?
Chama kina msemaji wake.Chadema mwenye maamuzi ya mwisho ni Mbowe!
Kama vidume kweli waombe kwenda ACT ndo tujue kuwa weshawehuka kabisa. Hao ndo "Masaka tonge" kweli kweliSio mtolea tu wa Temeke hata huyu Mtulia wa Kinondoni kaomba arudi cuf ...nasikia wako kwenye mazungumzo ya mwisho mwisho ili warejee cuf
Namkubali sana! Huyu ni sampuli ya akina Susan Kimwanga & the likeHuyo dada fighter sana.
View attachment 1520722