Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,653
- 21,307
Hii ni kwa Njombe pekee au Mwenyekiti wa Taifa ana ideas tofuati kwenye maeneo mengine?
Nauona mchezo wa kuku na yaiSio mtolea tu wa Temeke hata huyu Mtulia wa Kinondoni kaomba arudi cuf ...nasikia wako kwenye mazungumzo ya mwisho mwisho ili warejee cuf
Kusema na kuamua ni vitu viwili tofauti kabisa!Chama kina msemaji wake.
nyalandu anaangukia kundi gani,la mamluki au wanazi wa chama?
Tulia wewe mamlukiKusema na kuamua ni vitu viwili tofauti kabisa!
Hahahaaaa......... Tunasubiri mpambano wa Lisu na Nyalandu!Tulia wewe mamluki
Too lateHata mbele ya hela?
Kwanza huho Rose ni dagaa tu hapo chadema, hawezi kufanya lolote mbowe akiamua
Hujui kitu wewe !Hahahaaaa......... Tunasubiri mpambano wa Lisu na Nyalandu!
Hata mbele ya hela?
Kwanza huho Rose ni dagaa tu hapo chadema, hawezi kufanya lolote mbowe akiamua
Mkimalizana ndio Membe anaingia rasmi na kukabidhiwa bendera na Mbowe!Hujui kitu wewe !
Safi kabisa Kamanda.View attachment 1520722
Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.
Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi hiyo, hii ni kwa sababu wengi hawaaminiki na wakifanikiwa hawachelewi kujiuza kwa bei ya kutupwa.
Binafsi naunga mkono msimamo huo wa kikakamavu
Ni mmoja wa viongozi waandamizi wa chamanyalandu anaangukia kundi gani,la mamluki au wanazi wa chama?
kuna mtu anamzidi waitara kwa ulevi ?Nani mlisikia atakuja Chadema hii ya kilevilevi?
Ulitaka awe Polepole?Chadema mwenye maamuzi ya mwisho ni Mbowe!