mwenyekiti!kuna mtu anamzidi waitara kwa ulevi ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna niliposoma Bash Boy kujiunga na ACT wazalendo
Wajumbe si watu wema kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ujumbe huu mujarabu umfikie mwenyekiti maana 2015 aliuza nafasi ya mgombea wa urais kwa mamlukiView attachment 1520722
Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.
Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi hiyo, hii ni kwa sababu wengi hawaaminiki na wakifanikiwa hawachelewi kujiuza kwa bei ya kutupwa.
Binafsi naunga mkono msimamo huo wa kikakamavu
Huu unatakiwa uwe msimamo wa CHADEMA TaifaView attachment 1520722
Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.
Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi hiyo, hii ni kwa sababu wengi hawaaminiki na wakifanikiwa hawachelewi kujiuza kwa bei ya kutupwa.
Binafsi naunga mkono msimamo huo wa kikakamavu
Tuwakaribishe, wakija tuwatandike makofi!View attachment 1520722
Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.
Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi hiyo, hii ni kwa sababu wengi hawaaminiki na wakifanikiwa hawachelewi kujiuza kwa bei ya kutupwa.
Binafsi naunga mkono msimamo huo wa kikakamavu
Nampenda sana kwa ukakamavu wake na kujiaminiHuyo dada fighter sana.
Yani inasemekana?Kuna ile picha ya wanawake wa CCM ina trend wamevaa madera mmoja kashika dera juu ,kaonyesha makalio kavaa chupi nyeupe,inasemekana ndo wewe
Yani inasemekana?
Hiyo kusemakana yako inaondoa ukweli kwamba huyo Rose ni kidagaa tu anachoamua Mbowe na kina Mdee hakuana wa kupinga? Au umesahau kama 2015 ulibadirishiwa gia angani ukazungushwa mikono na kudekishwa barabara?
PipooooooooooozYaani wasiruhusiwe hata kuitaja chadema. Msaliti atakaye onekana anaitaja ama kuiwaza chadema achukuliwe hatua kali kabisa.
Kushindwa kura za maoni sio kigezo cha mtu kudhihakiwa. Ndani ya CCM au CHADEMA wako ambao hawajawahi kuhama na walikuwa wanashikilia nafasi za teuzi lakini wamebwagwa. Ukiwa Diwani au Mbunge sio kwamba una haki miliki na hiyo nafasi, wanachama au wananchi wanaweza wasikurudishe katika hiyo nafasi na hilo sio jambo la kujutia.View attachment 1520722
Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.
Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi hiyo, hii ni kwa sababu wengi hawaaminiki na wakifanikiwa hawachelewi kujiuza kwa bei ya kutupwa.
Binafsi naunga mkono msimamo huo wa kikakamavu
Hongera sana makamanda wa Njombe.View attachment 1520722