CHADEMA Njombe yapiga marufuku waliobwagwa kura za maoni kugombea kupitia chama hicho

Mtoto akinyea mkono huukati unausafisha..tunawahitaji hawa ni wana wapotevu wasamehewe wapokelewe bila kinyongo..wamemfahamu rafiki wa kweli sasa
 
Waruhusiwe kugombea, kama watashinda wapeperushe bendera ya cdm.
Cdm mnajinadi kuwa wana demokrasia lakini mnakuwa mnafeli mara kadhaa kuipractise... shame.
 
Huu ujumbe huu mujarabu umfikie mwenyekiti maana 2015 aliuza nafasi ya mgombea wa urais kwa mamluki
 
Huu unatakiwa uwe msimamo wa CHADEMA Taifa
 
Tuwakaribishe, wakija tuwatandike makofi!
 
Mbowe akiamua, huyo tom boy atagomesha? Kwendraaaaa mimi nitagombea kupitia Chadema Jimbo la Kaliua.
 
Kuna ile picha ya wanawake wa CCM ina trend wamevaa madera mmoja kashika dera juu ,kaonyesha makalio kavaa chupi nyeupe,inasemekana ndo wewe
Yani inasemekana?

Hiyo kusemakana yako inaondoa ukweli kwamba huyo Rose ni kidagaa tu anachoamua Mbowe na kina Mdee hakuana wa kupinga? Au umesahau kama 2015 ulibadirishiwa gia angani ukazungushwa mikono na kudekishwa barabara?
 
Chadema siyo ya mbowe we lofa
Yani inasemekana?

Hiyo kusemakana yako inaondoa ukweli kwamba huyo Rose ni kidagaa tu anachoamua Mbowe na kina Mdee hakuana wa kupinga? Au umesahau kama 2015 ulibadirishiwa gia angani ukazungushwa mikono na kudekishwa barabara?
 
Kushindwa kura za maoni sio kigezo cha mtu kudhihakiwa. Ndani ya CCM au CHADEMA wako ambao hawajawahi kuhama na walikuwa wanashikilia nafasi za teuzi lakini wamebwagwa. Ukiwa Diwani au Mbunge sio kwamba una haki miliki na hiyo nafasi, wanachama au wananchi wanaweza wasikurudishe katika hiyo nafasi na hilo sio jambo la kujutia.
Wewe furahi adui yako limemkuta baya lakini hakuna justification. Kuhama chama ni haki ya kila mtu na huku kwetu karibu kila mtu anaweza kuhama chama chake kwa sababu watu hawako katika vyama kiitikadi na vyama vyenyewe havina itikadi.
.
 
Hongera sana makamanda wa Njombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…