CHADEMA Njombe yapiga marufuku waliobwagwa kura za maoni kugombea kupitia chama hicho

Hii ni habari njema kwa CCM zaidi, tena mmefanya vizuri kuweka wazi kabla "ukeketaji" haujaanza rasmi.

Asiyekubaliana na matokeo hatazigawa tena kura kwa kuhamia upande wa pili.
Kama MTU alipata kura moja au tatu atagawa kura ipi hata akitoka jiongeze wewe ohooo
 
CHADEMA imejaa watu wenye Akili nyingi
 
Wanafiki tuu hao waende hukohuko,wao walifikiri Cadema imekufa huwezi kuziua fikra ndani ya mioyo ya watu.Wameona mapokezi ya Lissu wamepagawa na nawapongeza wajumbe kuwachinja huko.Nakupongeza dada kazia hapohapo hakuna kulegeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…