Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star

Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star

Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star

Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star

Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga

Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi

Nawatakia Dominica NJEMA
 
Watu wanaokaa meza moja na CCM wakiwa upinzani kulamba pesa za abduli wakikosa hawana pa.kukimbilia zaidi ya kurudusha fadhila zao katika kutumikia walichokula!

Wakitaka waende tu ...ni afadhali kuishi na mpagani kuliko kuishi na mlokole mshirikina
 
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star

Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star

Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star

Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star

Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga

Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi

Nawatakia Dominica NJEMA
Bora ungeenda kanisani tu ushinde huko huko huku mkiendelea kufarijiana na baptist wenzako wanaosema Mungu aliumba ulimwengu (dunia na vyote vilivyomo) halafu wakati huo huo wanataka kutuaminisha kuwa mungu ni yule aliyeletwa na kuhubiriwa na wazungu Afrika pengine usingepata muda wa kuandika hiki kituko hapa
 
Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.

Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Sugu sasa hivi ni mjasiriamali na siyo mwanasiasa. Ule upambanaji wake umeisha. Samia ni mtu wa karibu sana na Abdul ni rafiki. Itakuwa vizuri sana kama wakihama japo sidhani kama watafanya hivyo. Au watahamia chama cha Zitto. Kumbuka kuwa CCM bado inahitaji ''wapinzani geresha'' hivyo haitataka pasiwepo na chama cha upinzani bandia.
 
Bora ungeenda kanisani tu ushinde huko huko huku mkiendelea kufarijiana na baptist wenzako wanaosema Mungu aliumba ulimwengu (dunia na vyote vilivyomo) halafu wakati huo huo wanataka kutuaminisha kuwa mungu ni yule aliyeletwa na kuhubiriwa na wazungu Afrika pengine usingepata muda wa kuandika hiki kituko hapa
Utashangaa sana 🐼
 
Back
Top Bottom