Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
View: https://youtu.be/jn_uAalqAv4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Bob mkewe mchaggaSio kweli kwamba tangu Chadema kuanzisha haijawahi kuwa na mwenyekiti asiye mchaga. Bob Makani Msukuma amewahi kuwa chairman wa Chadema kabla ya Mbowe.
Nashukuru kuweka kumbuka sawa, lakini hoja ya Uchaga ilikita mizizi Chadema labda kwakuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake alikaa miaka mingi madarakaniSio kweli kwamba tangu Chadema kuanzisha haijawahi kuwa na mwenyekiti asiye mchaga. Bob Makani Msukuma amewahi kuwa chairman wa Chadema kabla ya Mbowe.
Hivi ukihama chama unahama na mambo yako mema ulliyoyafanya au yanabaki ulikokuwepo au yanafutikaWengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga
Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi
Nawatakia Dominica NJEMA
Mema yanabaki Mabaya unaenda nayoHivi ukihama chama unahama na mambo yako mema ulliyoyafanya au yanabaki ulikokuwepo au yanafutika
Kwa sasa hawana infuence yo yote katika Chama!
Waende tu wakaungane na Msigwa kusugua mabenchi ya Lumumba au Dodona!
Lusungo ana maumivi kibao na sasa hivi adui yake ni Chadema. Kwake bora CCM kuliko Chadema. Hao hao kina Lusungo sasa wanasema ni chama cha wakristo.Mkuu Lusungo , bado huamini kwamba Tundu Lissu ndiyo Mwenyekiti wako wa Chama Taifa?
Ni kweli anaweza kuwa amehaidi mengi, lakini ndiyo kwanza kufikia leo, anakuwa ametimiza Siku 5 tangu aingie ofisini.
Nashauri, mpeni muda na ushirikiano ili aweze kutimiza maono na ndoto za kukifanya Chadema kuwa Taasisi ma sio Mali ya mtu binafsi
Kwa mara ya kwanza tangu kusajiliwa kwake Mwaka 1992, Chadema kimepata Mwenyekiti asiyetoka Kaskazini.
Kwahiyo ile propaganda kwamba Chadema ni Chama cha Wachaga, Tundu Lissu ameivunja rasmi
Kwani kuwahi kuwa CCM ni tatizo? CCM ya zamani ilikuwa na tofauti kubwa na ya sasa.Kwa hiyo alilazimishwa na kuingia kwenye kura za maoni za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCm? Dr. Slaa na Maria je? Wanachama wa CCM ambao makesha nao space.
Siwezi kumpa ushirikiano jitu tapeli na laghai…. Tutahakikisha anashindwa.Mkuu Lusungo , bado huamini kwamba Tundu Lissu ndiyo Mwenyekiti wako wa Chama Taifa?
Ni kweli anaweza kuwa amehaidi mengi, lakini ndiyo kwanza kufikia leo, anakuwa ametimiza Siku 5 tangu aingie ofisini.
Nashauri, mpeni muda na ushirikiano ili aweze kutimiza maono na ndoto za kukifanya Chadema kuwa Taasisi ma sio Mali ya mtu binafsi
Kwa mara ya kwanza tangu kusajiliwa kwake Mwaka 1992, Chadema kimepata Mwenyekiti asiyetoka Kaskazini.
Kwahiyo ile propaganda kwamba Chadema ni Chama cha Wachaga, Tundu Lissu ameivunja rasmi
Hili mbona liko wazi! Nna uhakika hata kuua mpo tayari. Hapa ndipo ninaposema tumshukuru sana sana Lissu kwa sababu tusingejua kuwa Mbowe ni muuaji.Tapeli Lissu ule mdomo wake uliokaa Kama karai la chapati utamgharimu sana…..
Hatofika popote na tutahakikisha hilo.
Ukijua siasa ni maisha na ajira za watu kamwe huwezi kuwekeza imani au misimamo kwa mtu au binadamu yoyote.Mtu yoyote anaweza kufanya chochote ilimradi mkono uende kinywani.Kwenye siasa hakuna kisichowezekana! Shemeji yangu ambaye alikuwa tayari kufa kwa ajili ya CHADEMA hatimaye ametoa timu na mwaka huu anagombea kupitia CCM! Kazi kweli kweli!
Usiwe tutusa wapi nimesema Lisu Hafai?Mkuu bado kidogo utaokota makopo sasa. Umefikia stage ya kuokoteza ''uchafu'' kama huu ili tu kuonyesha Lissu hafai? Anyway, hili mbona tulilitegemea sana! Au sahihi niseme bado kuna vita kubwa inaandaliwa na timu ya Mbowe ili kuonyesha tu kuwa ilikuwa ni makosa kumchagua Lissu na Chadema inakufa. Kwa kushirikiana na vyombo vya dola, Mbowe atahakikisha Chadema inayumba au hata kufa ili yeye aonekane ni shujaa. Hata ikitokea Mbowe akafaniwa, lakini sisi wananchi tumepata ushindi mkubwa wa kujua ukweli ulikuwa umefichwa nyuma ya pazia i.e. tungepoteza muda na mali yetu kusubiri mabadiliko kutoka kwa uongozi wa Mbowe. Mimi hata Chadema chini ya Lissu ikifa leo sitasikitika sana kwani najua kabisa ndiyo utakuwa mwanzo wa mabadiliko ya kweli kwa sababu kokoro la CCM haliwezi kumbeba kila mtu.
Mbona kama unaumia na maisha ya watu?.Huo mvuto unasaidia nini kwenye maisha ya watu?.Watu hawawazi hizo mivuto zako wenzako wanawaza wanaingiza ngapi.Mengine yanabaki kua maamuzi ya mtu binafsi huna sababu yakumbagaza mtu kwasababu kafanya nje ya matarajio yako wakati yeye anawaza maisha yake ya kesho.Freshi tu wahame, ni wahuni watupu, wamepoteza credit, hawana mvuto, waende tu huko watapewa majimbo ya kugombea, wakikosa ukuu wa wilaya na teuzi zingine watapewa kama njugu! Daima CHADEMA itasonga mbele na kuwa kubwa zaidi
Kabla ya kwenda CHADEMA, Sugu alikuwa CCM.Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza