chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mkishakula nyama ya mbwa huko Iringa mnakuja kujaza nyuzi za hovyohovyo hapaWacha weeee kinembe 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishakula nyama ya mbwa huko Iringa mnakuja kujaza nyuzi za hovyohovyo hapaWacha weeee kinembe 😂
Tapeli Lissu kashashindwa.mtashindwa nyie
Haya mahuni Team Mbowe yalishazoea kuishi kitapeli na kugawana hela za ccm kwa kujiita wapinzani.Hili mbona liko wazi! Nna uhakika hata kuua mpo tayari. Hapa ndipo ninaposema tumshukuru sana sana Lissu kwa sababu tusingejua kuwa Mbowe ni muuaji.
Nashukuru kuweka kumbuka sawa, lakini hoja ya Uchaga ilikita mizizi Chadema labda kwakuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake alikaa miaka mingi madarakani
Mkuu usiamini mwanasiasa yoyote yule hata huyo Lissu ambaye mnaona amenyookaNitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Mkuu leo umefanikiwa kupata breakfast lakini?Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga
Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi
Nawatakia Dominica NJEMA
Ni sahihi MkuuCHADEMA ni chama cha kisiasa., sio cha kikabila. Ni chama m'badala, chenye kuleta ukombozi wa kweli.
after all wachagga ni akili kubwa? au wewe unaonaje
CDM nusu mkate hao ndio matapeli mkuu.Tapeli Lissu kashashindwa.
Wachaga huwa mna roho mbaya kama dada zenu ambao huwa wanawalipua waume zao namna ambavyo wapalestina huwa wanawalipua wana wa Israel . Siku zote roho mbaya huwa haijengi.Tapeli Lissu ule mdomo wake uliokaa Kama karai la chapati utamgharimu sana…..
Hatofika popote na tutahakikisha hilo.
Hii ngumu sana, labda msigwa nae arudi Chadema wapishane.Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Na nje ya chadema ni wepesi mno hakuna mtu atakua na mda naoWengi walivofurahia ushindi wa Lisu sio Kwa sababu Lisu yupo vizuri apana watu walitaka waone makanjanja kama hawa, watu wanaohadaaa wananchi Kwa siasa uchwara, watu wanaofanya uwinga wa kisiasa na wengine wote waliopo kwenye vyama Kwa hila flani
Ccm daima samiA 5Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga
Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi
Nawatakia Dominica NJEMA
Mkuu wa Kazi 🐼Ccm daima samiA 5
Wenje sawa ila Sugu na Boni ni ngumu.Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Hakunaga Mkate mgumu mbele ya ChaiWenje sawa ila Sugu na Boni ni ngumu.
😃Hakunaga Mkate mgumu mbele ya Chai