Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

Tapeli Lissu ule mdomo wake uliokaa Kama karai la chapati utamgharimu sana…..

Hatofika popote na tutahakikisha hilo.
Mapandikizi ya CCM mko kazini. Lisu akifeli ni faida ipi utaipata?
 
Wamechelewa walitakiwa wahame na Msigwa, sasa hivi itaonekana wanamtaka mtu wala si ch

huya wa sasa ni mnyaturu, sijui watamnasibisha na nini zaidi ya ubeberu wanaomtwisha nao maana wanyaturu hawana time na chadema kama ilivyokuwa wachaga na chadema. Propaganda ni nyingi wahuni hawakosi kumtwanga nazo
Wanyaturu one can dare say ni primitive society, utalinganisha na wachaga? Hata ccm hawana time nayo kama siyo kutumia kofia na t shirt kuwarubuni as most of them are poor compared to chagas. Mnisamehe kama kuna nitakaówakwaza
 
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Sioni Tatizo akihamia huku kwa sababu, katika utekelezaji wa Ilani ya Chama ya CCM iliyoweka Chama Hiki madarakani 2020, Sugu amejikuta amenufaika zaidi kama Mwananchi, mwanasiasa, na mfanyabiashara. Biashara zake zipo Poa Kabisa bila shida na analipa Kodi bila Shuruti. Sasa katika mazingira haya utamlaumuje Sugu kuhamia CCM? 😀
===
Mpaka Maji muyaite mma!!!!
 
Mkuu una nini cha maana zaidi ya ushabiki wa kisiasa kitachofanya CCM wakushawishi uende kwao au Chadema wasikitike kukupoteza?
Umaana ni kuwa huyu ni askari. Hatutaki kumpoteza askari hata mmoja ....by Mbowe
 
Wachaga huwa mna roho mbaya kama dada zenu ambao huwa wanawalipua waume zao namna ambavyo wapalestina huwa wanawalipua wana wa Israel . Siku zote roho mbaya huwa haijengi.
Mbona hamkutafuta vyama vyenu fisi nyie?
 
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star

Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star

Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star

Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star

Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga

Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi

Nawatakia Dominica NJEMA
Kama walikuwa CHADEMA kwa sababu ya Mbowe na pesa zake ni ruksa kuondoka. Wanamageuzi halis tutabaki kupigania mageuzi.
 
Unataka kuniambia Nasari na Boni Yai nani aliifaidi Chadema?

Yupo wap Nassari mkuu?
Vitisho vya Magu ccm ndio sababu yuko huko, nadhani unakumbuka issue ya kutishiwa nyumbani kwake na kuuliwa mbwa wake huko jimboni kwake Arumeru.
 
Wenje sawa ila Sugu na Boni ni ngumu.
Bora hata wenje, sugu ndio mnufaika wa kwanza hizo pesa anazosemaga lissu.

Sugu ndio sababu kubwa kutokea yaliyotokea. Uchaguzi wa Kanda ya nyasa ndio ulimfanya lissu akawa hivi leo hii. Ndio uliomfanya lissu akaamua kupambana na viongozi wenzie ndani ya chama. Uchaguzi Kanda ya nyasa ambao sugu alishinda ndio chanzo Leo hii mbowe sio mwenyekiti
 
Vitisho vya Magu ccm ndio sababu yuko huko, nadhani unakumbuka issue ya kutishiwa nyumbani kwake na kuuliwa mbwa wake huko jimboni kwake Arumeru.
Hiyo sababu si ya kweli, mwanasiasa mpenda fursa huwa anaangalia upepo unavuma wapi. Mashinji, lijualikali, waitara, katambi na nassari wote waliondoka kwa sababu inayofanana ya kutafuta fursa, Wala hawakua na sababu zingine
 
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star

Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star

Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star

Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star

Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga

Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi

Nawatakia Dominica NJEMA
Sugu hawezi kuhama lakini Mboni yai inawezekana na Wenje
 
Kwa hasira mnaweza kuhama kwani bado mmenuna sana.
Mbowe ni gwiji la siasa lkn wafuasi wake mmegoma katu katu kuamini😆
Kuna mfuasi mmoja wa mbowe nilimuuliza kwa nini mnahisi mbowe sio binadamu? Maana kama mngehisi binadamu, basi binadamu hufa, je mbowe angekufa au mlikua na mkataba na Mungu kuwa mbowe atakuwa mwenyekiti wa milele?
 
Wakifanya hivyo basi wataipa CHADEMA na Tundu Lissu umaarufu zaidi..

It will be a very wrong Move Kwa Sasa..
 
Sugu hawezi kuhama lakini Mboni yai inawezekana na Wenje
Bora hata boniyai na wenje. Sugu ndio mnufaika wa kwanza wa pesa chafu alizosema lissu. Jina sugu linawachanganya mnahisi ni sugu kweli

Lissu sababu ya kuamua kupambana na rushwa ndani ya chama Ni uchaguzi wa nyasa ambao sugu alishinda. Rushwa ilitembea sana, hiko ndio kilimkera lissu na kuamua kuongea yote aliyoongea.
 
Hiyo sababu si ya kweli, mwanasiasa mpenda fursa huwa anaangalia upepo unavuma wapi. Mashinji, lijualikali, waitara, katambi na nassari wote waliondoka kwa sababu inayofanana ya kutafuta fursa, Wala hawakua na sababu zingine
Kulazimishwa vikiambatana na vitisho kuelekea fursa, unakumbuka issue ya Nusrant Hanje kutolewa gerezani akiwa na kesi mahakamani hadi kuapishwa kuwa Mbunge?.
 
Back
Top Bottom