Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star

Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star

Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star

Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star

Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga

Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi

Nawatakia Dominica NJEMA
Trump alisema watu wengi waliwa ma**ask na chawa akili zao zinakuwa saa urudi nyuma.
 
Ndio hiyo wanachofata ni teuzi, wenzao wote maarufu waliohama walikula teuzi
Hawezi kuteuliwa wote, Upendo Peneza mpk amepotea kwenye ramani anasubiri uteuzi, Msigwa jua linazama anasubiri, kumbuka kwenye hizi jumuhia sijui UVCCM, wazazi, UWT(Akina Lucas Mwashambwa) na takataka zingine zote zipo kwenye foleni ya uteuzi
 
Inategemea na upepo unaoenda nao, Kama ulijipendekeza mwenyewe basi teuzi utaisikia tu kwa wengine
 
Nyuzi za hovyohovyo kama hizi zimekithiri JF
Na hawa ni watu wa mipasho tu. Sioni hata mmoja mwenye hoja za msingi za kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya watanzania wengi tunayokabiliana nayo. Vyama vimekuwa kama club za mpira, full ushabiki! Tuchambueni hoja siyo mipasho na vioja
 
Msando namfahamu vizuri sn hana mali kama unavyodhani kumshida mtu ambaye amekuwa mbunge kwa miaka 10 + biashara, mbunge akiwa siyo mla rushwa for 5 years hakosi 2B, kwanza anapewa mkopo na hazina 1B nusu anakatwa na nusu analipiwa na bunge, mbunge likivunjwa hakosi 300M, bado vikao, safari, GSM huwezi kumpa hata kuwa Gavana lakini ubunge atakubali sababu ndiyo kuna hela zipo nje nje
Mbona Nassari aliacha Ubunge akaenda kuwa DC

Nyalandu aliacha Ubunge

Rostam Aziz aliacha Ubunge

Lijualikali alikuwa Mbunge Sasa ni DC

Hata Mbowe anaweza kuwa DC

Usikariri manka 😂
 
Mbona Nassari aliacha Ubunge akaenda kuwa DC

Nyalandu aliacha Ubunge

Rostam Aziz aliacha Ubunge

Lijualikali alikuwa Mbunge Sasa ni DC

Hata Mbowe anaweza kuwa DC

Usikariri manka 😂
Hao wote walishindwa, Mbowe/Rostam/Nyalandu huwezi kumteua kuwa DC ni nafasi ya chini sn kwao
 
Hawezi kuteuliwa wote, Upendo Peneza mpk amepotea kwenye ramani anasubiri uteuzi, Msigwa jua linazama anasubiri, kumbuka kwenye hizi jumuhia sijui UVCCM, wazazi, UWT(Akina Lucas Mwashambwa) na takataka zingine zote zipo kwenye foleni ya uteuzi
Lucas Mwashambwa unaitwa
 
Back
Top Bottom