johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #161
Peneza ni BossHawezi kuteuliwa wote, Upendo Peneza mpk amepotea kwenye ramani anasubiri uteuzi, Msigwa jua linazama anasubiri, kumbuka kwenye hizi jumuhia sijui UVCCM, wazazi, UWT(Akina Lucas Mwashambwa) na takataka zingine zote zipo kwenye foleni ya uteuzi