Mapandikizi ya CCM mko kazini. Lisu akifeli ni faida ipi utaipata?Tapeli Lissu ule mdomo wake uliokaa Kama karai la chapati utamgharimu sana…..
Hatofika popote na tutahakikisha hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapandikizi ya CCM mko kazini. Lisu akifeli ni faida ipi utaipata?Tapeli Lissu ule mdomo wake uliokaa Kama karai la chapati utamgharimu sana…..
Hatofika popote na tutahakikisha hilo.
Wamechelewa walitakiwa wahame na Msigwa, sasa hivi itaonekana wanamtaka mtu wala si ch
Wanyaturu one can dare say ni primitive society, utalinganisha na wachaga? Hata ccm hawana time nayo kama siyo kutumia kofia na t shirt kuwarubuni as most of them are poor compared to chagas. Mnisamehe kama kuna nitakaówakwazahuya wa sasa ni mnyaturu, sijui watamnasibisha na nini zaidi ya ubeberu wanaomtwisha nao maana wanyaturu hawana time na chadema kama ilivyokuwa wachaga na chadema. Propaganda ni nyingi wahuni hawakosi kumtwanga nazo
Sioni Tatizo akihamia huku kwa sababu, katika utekelezaji wa Ilani ya Chama ya CCM iliyoweka Chama Hiki madarakani 2020, Sugu amejikuta amenufaika zaidi kama Mwananchi, mwanasiasa, na mfanyabiashara. Biashara zake zipo Poa Kabisa bila shida na analipa Kodi bila Shuruti. Sasa katika mazingira haya utamlaumuje Sugu kuhamia CCM? 😀Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Umaana ni kuwa huyu ni askari. Hatutaki kumpoteza askari hata mmoja ....by MboweMkuu una nini cha maana zaidi ya ushabiki wa kisiasa kitachofanya CCM wakushawishi uende kwao au Chadema wasikitike kukupoteza?
Mbona hamkutafuta vyama vyenu fisi nyie?Wachaga huwa mna roho mbaya kama dada zenu ambao huwa wanawalipua waume zao namna ambavyo wapalestina huwa wanawalipua wana wa Israel . Siku zote roho mbaya huwa haijengi.
Kama walikuwa CHADEMA kwa sababu ya Mbowe na pesa zake ni ruksa kuondoka. Wanamageuzi halis tutabaki kupigania mageuzi.Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga
Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi
Nawatakia Dominica NJEMA
Vitisho vya Magu ccm ndio sababu yuko huko, nadhani unakumbuka issue ya kutishiwa nyumbani kwake na kuuliwa mbwa wake huko jimboni kwake Arumeru.Unataka kuniambia Nasari na Boni Yai nani aliifaidi Chadema?
Yupo wap Nassari mkuu?
Bora hata wenje, sugu ndio mnufaika wa kwanza hizo pesa anazosemaga lissu.Wenje sawa ila Sugu na Boni ni ngumu.
Laana ya Upendo Peneza MsuyaUmaana ni kuwa huyu ni askari. Hatutaki kumpoteza askari hata mmoja ....by Mbowe
Hiyo sababu si ya kweli, mwanasiasa mpenda fursa huwa anaangalia upepo unavuma wapi. Mashinji, lijualikali, waitara, katambi na nassari wote waliondoka kwa sababu inayofanana ya kutafuta fursa, Wala hawakua na sababu zingineVitisho vya Magu ccm ndio sababu yuko huko, nadhani unakumbuka issue ya kutishiwa nyumbani kwake na kuuliwa mbwa wake huko jimboni kwake Arumeru.
Kwa hasira mnaweza kuhama kwani bado mmenuna sana.IMPOSSIBLE, ALTHOUGH THE WORD IMPOSSIBLE EXISTS IN THE DICTIONARY OF THE FOOLS
Masikini Peneza, hajachaguliwa uteuzi, ngoja tuone baada ya October...na Msigwa Kinyambe , hopefully watapata.Laana ya Upendo Peneza Msuya
Sugu hawezi kuhama lakini Mboni yai inawezekana na WenjeWengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga
Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi
Nawatakia Dominica NJEMA
Kuna mfuasi mmoja wa mbowe nilimuuliza kwa nini mnahisi mbowe sio binadamu? Maana kama mngehisi binadamu, basi binadamu hufa, je mbowe angekufa au mlikua na mkataba na Mungu kuwa mbowe atakuwa mwenyekiti wa milele?Kwa hasira mnaweza kuhama kwani bado mmenuna sana.
Mbowe ni gwiji la siasa lkn wafuasi wake mmegoma katu katu kuamini😆
Bado hawaaminiKwa hasira mnaweza kuhama kwani bado mmenuna sana.
Mbowe ni gwiji la siasa lkn wafuasi wake mmegoma katu katu kuamini😆
Mbowe ni mtu mwema sn sema ile timu yake ilikuwa ya wapigaji snKuna mfuasi mmoja wa mbowe nilimuuliza kwa nini mnahisi mbowe sio binadamu? Maana kama mngehisi binadamu, basi binadamu hufa, je mbowe angekufa au mlikua na mkataba na Mungu kuwa mbowe atakuwa mwenyekiti wa milele?
Kwamba ukiwa chadema hutakiwi kuwa na rafiki ccmMsigwa rafiki wa Lissu? Chama kimeshajifia. CCM ni dude kubwa sana.
Bora hata boniyai na wenje. Sugu ndio mnufaika wa kwanza wa pesa chafu alizosema lissu. Jina sugu linawachanganya mnahisi ni sugu kweliSugu hawezi kuhama lakini Mboni yai inawezekana na Wenje
Kulazimishwa vikiambatana na vitisho kuelekea fursa, unakumbuka issue ya Nusrant Hanje kutolewa gerezani akiwa na kesi mahakamani hadi kuapishwa kuwa Mbunge?.Hiyo sababu si ya kweli, mwanasiasa mpenda fursa huwa anaangalia upepo unavuma wapi. Mashinji, lijualikali, waitara, katambi na nassari wote waliondoka kwa sababu inayofanana ya kutafuta fursa, Wala hawakua na sababu zingine