johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtu pekee awezi kwenda Ccm ni Hashimu RungweNitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Unataka kuniambia Nasari na Boni Yai nani aliifaidi Chadema?IMPOSSIBLE, ALTHOUGH THE WORD IMPOSSIBLE EXISTS IN THE DICTIONARY OF THE FOOLS
Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Ni Kesho kutwa tuUsitutishe
Kuna anayeweza kupika ubwabwa zaidi yake huko?Mtu pekee awezi kwenda Ccm ni Hashimu Rungwe
SAWANi Kesho kutwa tu
Ndiyo uelewe kuwa kuna tatizo kubwa la afya ya akili za wanasiasa wa nchi hii, hawajui kuwa chama ni katibaWamechelewa walitakiwa wahame na Msigwa, sasa hivi itaonekana wanamtaka mtu wala si chamaa.
Chadema hakina cha kufaidi, ni mateso labda kama unasemea kipata udiwami/ ubunge..Unataka kuniambia Nasari na Boni Yai nani aliifaidi Chadema?
Yupo wap Nassari mkuu?
Bora ungeenda kanisani tu ushinde huko huko huku mkiendelea kufarijiana na baptist wenzako wanaosema Mungu aliumba ulimwengu (dunia na vyote vilivyomo) halafu wakati huo huo wanataka kutuaminisha kuwa mungu ni yule aliyeletwa na kuhubiriwa na wazungu Afrika pengine usingepata muda wa kuandika hiki kituko hapaWengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa mh Wassira aliwahi kuhamia NCCR mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia Chadema ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga
Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi
Nawatakia Dominica NJEMA
Sugu sasa hivi ni mjasiriamali na siyo mwanasiasa. Ule upambanaji wake umeisha. Samia ni mtu wa karibu sana na Abdul ni rafiki. Itakuwa vizuri sana kama wakihama japo sidhani kama watafanya hivyo. Au watahamia chama cha Zitto. Kumbuka kuwa CCM bado inahitaji ''wapinzani geresha'' hivyo haitataka pasiwepo na chama cha upinzani bandia.Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.
Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Utashangaa sana 🐼Bora ungeenda kanisani tu ushinde huko huko huku mkiendelea kufarijiana na baptist wenzako wanaosema Mungu aliumba ulimwengu (dunia na vyote vilivyomo) halafu wakati huo huo wanataka kutuaminisha kuwa mungu ni yule aliyeletwa na kuhubiriwa na wazungu Afrika pengine usingepata muda wa kuandika hiki kituko hapa
Ruzuku 🐼Chadema hakina cha kufaidi, ni mateso labda kama unasemea kipata udiwami/ ubunge..
Outside those two aspects, Chadema ni mateso