chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Tunafunga mji mzimaMmeshauriwa nanyi kuitisha mtest mitambo. Kuna mwenzenu aliitisha hatukupata mrejesho ila huu:
View attachment 2529560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunafunga mji mzimaMmeshauriwa nanyi kuitisha mtest mitambo. Kuna mwenzenu aliitisha hatukupata mrejesho ila huu:
View attachment 2529560
Tunafunga mji mzima
SanaSawa - kwani sisi inatuhusu?
Ipo haja ya kuchambua mambo kujua magereza zao zinaweza kumudu kutuhifadhi wangapi. Katiba mpya ni sasa.
Ni kweli chama tayari kimeshasimika mizizi ya Imani kwa Wanachi vya kutoshaEfforts zinatakiwa ziwekwe kwenye last step, serious efforts I mean, tusiendelee kuridhika na hii nyomi ambayo imekuwepo kwa miaka mingi, mipango iwekwe hasa kwenye Katiba Mpya na Tume Huru.
Vijijini burudani na vichekesho ni ngumu kupata, ndio maana watu hujaa, hawajai kwa sababu ya itikadi
Ni kweli chama tayari kimeshasimika mizizi ya Imani kwa Wanachi vya kutosha
Mkuu hatutarudia kosa tena utawala wa Magufuli umetufundisha vya kutoshaTatizo la CDM utakuta wana uungwaji mkono mkubwa hivyo, ila ikifika uchaguzi wanaokoteza wahuni toka CCM eti wanakubalika. Nakumbuka ule utapeli eti Lowassa ndio alileta mafuriko CDM, akaishia kupata sifa ambazo hakustahili.
Picha imepigwa kihuni mno eto nyomi au mnadanganywa na hiyo horizontal obliqueNguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena:
View attachment 2529478
Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM.
View attachment 2529481
Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia sheria na kanuni tunazopewa na CCM.
Hatutapewa katiba mpya mezani.
2 Wafalme 7:6 inasema:
"Kishindo cha wakoma kiliwakimbiza washami"
Katiba mpya ni after 2025,, hilo liko clearHaipo katiba mpya bila maumivu. Muda wa kufanya tathmini ni huu.
HakikaNguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena:
View attachment 2529478
Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM.
View attachment 2529481
Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia sheria na kanuni tunazopewa na CCM.
Hatutapewa katiba mpya mezani.
2 Wafalme 7:6 inasema:
"Kishindo cha wakoma kiliwakimbiza washami"
Mimi nimevutiwa sana na kichwa cha mada yako.Nguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena:
View attachment 2529478
Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM.
View attachment 2529481
Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia sheria na kanuni tunazopewa na CCM.
Hatutapewa katiba mpya mezani.
2 Wafalme 7:6 inasema:
"Kishindo cha wakoma kiliwakimbiza washami"
Hivi 'influencers' huko CHADEMA ni akina nani, kama siyo nyinyi? Tumieni nafasi zenu vizuri kazi ifanyike.Hakika
Hebu kidogo.Haipo katiba mpya bila maumivu. Muda wa kufanya tathmini ni huu.
😅😅😅mkuu acha ubishi hautakusaidiaPicha imepigwa kihuni mno eto nyomi au mnadanganywa na hiyo horizontal oblique
Efforts zinatakiwa ziwekwe kwenye last step, serious efforts I mean, tusiendelee kuridhika na hii nyomi ambayo imekuwepo kwa miaka mingi, mipango iwekwe hasa kwenye Katiba Mpya na Tume Huru.
Katiba mpya ni after 2025,, hilo liko clear
Mimi nimevutiwa sana na kichwa cha mada yako.
Laiti kama CHADEMA wangekuelewa na wakatimiza yanayohimizwa na kichwa cha habari hiki, sina shaka wengi tungepata matumaini juu ya chama hiki.
Sasa sijui kama kweli chama chako kinakuelewa sawia.
Ninakuomba ujizatiti, uwahimize wakuelewe na wafanye kweli.
Habari ya nyimbo za 'nyomi' ilikwishapita siku nyingi.
Hebu kidogo.
Kwenye mikutano hii inayofanywa na CHADEMA tokea ianze huko Mwanza, sijasikia habari ya "KATIBA MPYA" ikizungumziwa.
Could this be a coincidence or is it by design?