Wamekurupukaaa kama kawaida yaooo
GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!
Nini madhara ya kauli hii ya CHADEMA katika nyanja za kidiplomasia?
je CHADEMA kinatuma salamu gani kwa wWakenya waLIODECIDE kumpa kura za kishindo bwana Uhuru Kenyatta
CHADEMA hakiwezi kukurupuka kama JK alivyokurupuka kumpongeza Kenyatta huku akijua kwamba bado hajaapishwa na vile vile kuna uwezekana matokeo yakatenguliwa na Mahakama.Sasa hivi wanaomba mahakama isitoe ruling in favour of CORD maana itakua embarassement kidiplomasia.
Wanadiplomasia na mataifa mengine wamewapongeza wakenya na kukwepa jina la Uhuru lakini hapa tumekurupuka
Kuna kesi imefunguliwa kupinga ushindi wake na pia yeye anahitajika ICC kujibu tuhuma za mauaji ya watu zaid ya 1000 chadema haiwezi kuunga mkono wauaji!Hivi CHADEMA bado hawajampongeza Kenyatta tu?