CHADEMA: Odinga ameibiwa kura

CHADEMA: Odinga ameibiwa kura

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!

Nini madhara ya kauli hii ya CHADEMA katika nyanja za kidiplomasia?
je CHADEMA kinatuma salamu gani kwa wWakenya waLIODECIDE kumpa kura za kishindo bwana Uhuru Kenyatta
 
Na wasiwasi na kauli ya CHADEMA,msemaji ni nani? Hiyo ni habari,kwa nini haikuandikwa na Tanzania Daima? Sauti watueleze alietoa kauli ninani?
 
Wamekurupukaaa kama kawaida yaooo

Kwa akili yako mleta maada kaweka mada yake vizuri ( wap, lin, nani kasema kauli , na kwanini) ajasema kwa haya ..... , na gazet lenyewe la KADA wa MaCCM.
 
Kwani Msemaji wa Chadema ni Gazeti au nani?
 
Kama kweli ameibiwa kura nyingi kiasi hicho nasi ama alikuwa na vilaza na mazezeta wa kutupwa kwenye kambi yake ambao hawakuweza kabisa kudhibiti wizi, ama kambi ya Uhuru ilifanya kazi ya kisayansi sana kiasi kwamba hawa jamaa wa Odinga waliona nyota nyota tu. Hata kama kura zikirudiwa tena nina imani kuwa UhuRuto watashinda kwa kishindo kwani bado waliowaunga mkono yaani wakikuyu na wa-Kalenjin wataendelea kuwaunga mkono tena kwa kishindo zaidi.
 
Magamba kila wakilala, wakiamka wanaiwaza Chadema. Hawa Magamba watakufa ni horo mwaka huu.
 
Acha ushamba wewe hiyo asimilia 50 ni kura za kishindo. CCM bwana kwa kufikiri kwa kutumia masaburi ni kawaida yao!
GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!

Nini madhara ya kauli hii ya CHADEMA katika nyanja za kidiplomasia?
je CHADEMA kinatuma salamu gani kwa wWakenya waLIODECIDE kumpa kura za kishindo bwana Uhuru Kenyatta
 
inawezekanaje hizi pipo kuwaza wizi wa kura nyakati za uchaguzi! nina mashaka nao, pengine wana expirience ya wizi. This is not gud, wanachochea conflicts ambazo hazina maana yoyote. A gud leader ni yule ambaye, ana avoid uchochezi unaoweza kuleta mivutano isiyo na maana yoyote.
 
Hata kama CORD wameibiwa kura kweli, it is quite cumbersome for CHADEMA to get mingled in that.

Kwanza ni mambo ya nchi nyingine.

Pili Wakenya wengine watajiuliza motive ya CHADEMA ni nini? Wana hisa gani CORD? Raila ana risk kuwa controlled kutoka nje ya Kenya?

Halafu suppose CHADEMA wanashinda uchaguzi 2015 na washasema Jubilee hawajashinda kihalali. Watafanya nini? Watarecall recognition ya serikali ya CCM?

This move, if at all the report is accurate, is most imprudent.
 
CHADEMA hakiwezi kukurupuka kama JK alivyokurupuka kumpongeza Kenyatta huku akijua kwamba bado hajaapishwa na vile vile kuna uwezekana matokeo yakatenguliwa na Mahakama.Sasa hivi wanaomba mahakama isitoe ruling in favour of CORD maana itakua embarassement kidiplomasia.

Wanadiplomasia na mataifa mengine wamewapongeza wakenya na kukwepa jina la Uhuru lakini hapa tumekurupuka
 
Hivi SA sio taifa? South Africa's President Congratulates New Kenyan President
 
Back
Top Bottom