CHADEMA: Odinga ameibiwa kura

CHADEMA: Odinga ameibiwa kura

Iv c hao chadema waliomtahadharisa magufuli kwa kauli yake ya kuwataka wakenya wamchague oding a na kwamba ingeathiri diplomasia kama ikitokea wakenya wamemkataa?iweje leo?sina imani na chanzo
 
inawezekanaje hizi pipo kuwaza wizi wa kura nyakati za uchaguzi! nina mashaka nao, pengine wana expirience ya wizi. This is not gud, wanachochea conflicts ambazo hazina maana yoyote. A gud leader ni yule ambaye, ana avoid uchochezi unaoweza kuleta mivutano isiyo na maana yoyote.

umejiridhishaje kwamba ni kweli cdm wameyasema hayo aliyoleta muweka habari hii,yaani wewe ukiona tu cdm yasema basi ualipuka.........kwa nini ushoji kidogo labda nani amesema?,je ndiye msemaji wa chama?IMELIPOTIWA NA HILO GAZETI LA TAREHE NGAPI?ni ukurasa wa ngapi?wewe unalipuka tu.......ama kweli miafrika ndivyo tulivyo
 
GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!

Nini madhara ya kauli hii ya CHADEMA katika nyanja za kidiplomasia?
je CHADEMA kinatuma salamu gani kwa wWakenya waLIODECIDE kumpa kura za kishindo bwana Uhuru Kenyatta
Kwanza asilimia 50.07% siyo ushindi wa kishindo (Landslide victory), aidha CHADEMA sidhani kama wametokea tamko hilo unless utuwekee PRESS RELEASE yao tukuamini....!!!
 
If u r a real great thinker u can not urgue on any news concerning "Eti....."
Napata kunukuu moja ya sehemu ya mistari ya wimbo wa mwanamziki Roma Mkatoliki, "....sisadiki magazeti, waandishi wengi KANJANJA...."
 
Si yule anayetumia mbinu ya kujosafisha baada ya kulala na mwanamke mwaathirika ama?Sasa kama elimu ya maambukizi ya Ukimwi tu hana unategemea awevmakini kwenye mambo ya kidiplomasia?

Hayo maoni yako binafsi aua unawakilisha CHADEMA?
 
Chadema mambo ya Kenya yanawahusu nini badala mjipange kujenga chama chenu mnakimbilia Kenya.

Hata nyie mwaka 2015 mtasema hivyo hivyo Dr Slaa kaishaanza kujiami kuwa CCM wameingiza mtambo wa kuiba kura.

Kwa hiyo mnataenda mahakamani au mtaishia kulia lia kama kawaida yenu.
 
Si yule anayetumia mbinu ya kujosafisha baada ya kulala na mwanamke mwaathirika ama?Sasa kama elimu ya maambukizi ya Ukimwi tu hana unategemea awevmakini kwenye mambo ya kidiplomasia?

Ben,

Hii post umeandika wewe au Matola?
 
Hivi CHADEMA bado hawajampongeza Kenyatta tu?

Hivi wewe unazaniaga Kenyatta ni ccm yule au anaurafiki na ccm yako? Kamuulize Nyerere na Obote!

Kalonzo mwenyewe alimsupport Knyatta kwanza kabla ya kumsupport Odinga.

Kwa namna yoyote as much as Odinga bado ni powerful kwenye siasa za kenya CDM has the right to support him, na sitegemei kwamba hii inauhusiano wowte na ccm.

Kama ukifanya equivalance ya siasa za Kenya in Tanzania basi ccm isubiri kufa tu muda wowotw, au kama itajiburuza sana basi itabakia pwani ikichuana na cuf.
 
Ben,

Hii post umeandika wewe au Matola?

Nimeandika nikiwa na akili timamu.Nimechukia kitendo cha kujaribu kumlinganisha Rais na huyo clueless president wa SA anayetumia self invented method kujikinga na maambukizi ya HIV.
 
Utoto nao ni taabu maana kabla hujachangia ni vizuri ujue historia ya Kenya kwa maana ya KARL MARX:kwamba historia yote ni habari ya mapambano ya kitabaka.
Kwa ufupi MAU MAU ilimwaga damu na Uhuru maana yake ARDHI iliyokuwa msingi wa vita hii imemezwa na WAZUNGU WEUSI the KIKUYU NA HUSUSANI FAMILIA YA mzee JOMO KENYATTA.Moi muumini wa NYAYO philosophy aliendelea kuilinda familia hii na kuteketeza yeyote asiye KIKUYU-KALENJIN aliyeonesha dalili za kuwa kiongozi:yaliyompata DR. OUKO ROBERT ambaye alimsindikiza MOI USA kisha akaweza kujibu na kuweka masuala vizuri yale MOI ALIYOCHEMKA,ni kuuwawa na kuchomwa moto na kutupwa msitu wa NGONG,bahati nzuri fisi hawakuitamani nyama yake,ili shetani adhihirike.MSITU HUU WA NGONG ulihifadhi mwili wa KARIUKI MWANGWI akiitwa president of the poor wakati wa KENYATTA,MOI,profesa wa siasa za kimauaji, NDIYE SHAHIDI AU MASTERMINDER WA HII PIA!Moi alishindwa kuvumilia kauli ya mwandishiwa habari eti OUKO angefaa zaidi kuwa PRESIDA kwa ufasaha pamoja na uelewa mkubwa wa mashauri ya kigeni yaite foreign affairs if you like broken English.Ouko alirejea mwenyewe alifukuzwa kazi kimya kimya ,alienda kwa MOI NA MKE NA WATOTO KUOMBA RADHI LAKINI AKILIONA KILICHOMNYOA KANGA MANYOYA YAKE.
Wakati MOI ANAONDOKA maradakani alijenga dalili za mapambano katiya UHURU na KIBAKI,akijua kuwa wote ni GIKUYUS nawote watamlinda yeyey na familia ya MZEE KENYATTA DHIDI YA DAMU TAKATIFU ILIYOMWAGWA BILA HATIA NA MOI PLUS KENYATTA MAANA UHURU ANGELINDA FAMILIA NA KIBAKI ALISHAKUWA KWENYE GIKUYU-KALENJIN MAFIOSO kwa hiyo hadi leo hajamfanya MOI CHOCHOTE CHA AJABU.
RAILA NI MUUNGWANA,MPIGANAJI,MZALENDO NA MWATHIRIKA WA SIASA ZA MAUAJI,MATESO,KESI ZA KUBAMBIKWA IKIWAMO UHAINI,KIPIGO,NAKILA AINA YA MADHILA,THE GENTLEMAN PRESIDENT WHICH KENYA FAILED TO HAVE.
CCM ni Chama cha Magamba ya almasi,kilimpokea Raila kwa usanii,WAKATI AMBAPO kinyemela system ilimpokea RAIS KIBAKI Mikampa jina la barabara kichochoro tu ukilinganisha na THIKA EXPRESS HIGHWAY na UHURU pia kinyemela,MAGUFULI ALIENDA kumsanifu RAILA,CDM waliend akuisapoti ODM waziwazi CCM ilisapoti UHURUTO kimafia hata hii deal ya kura CCM ni wabobezi tangia huko ZNZ hadi kule ISBANIA-TARIME!
CDM was in historical context right to support ODM.CCM AS A MAFIOSO STATE-PARTY was as well right to support KIBAKI AND HIS MUNGUKI SUPPORTING UHURU MUGAI KENYATTA, MAANA NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA!But history tends to repeat itself na kinachotokea leo kilitokea 50 yrs ago.CHADEMA WATAIKOMBOA NCHI,LINI,HOW,NA NANI KIONGOZI AJUAYE NI MUNGU NA HISTORIA YENYEWE
 
GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!

Nini madhara ya kauli hii ya CHADEMA katika nyanja za kidiplomasia?
je CHADEMA kinatuma salamu gani kwa wWakenya waLIODECIDE kumpa kura za kishindo bwana Uhuru Kenyatta

CDM siyo mtu hivyo haziwezi kuongea. Kwa nini hawakututajia msemaji kama ni kweli!!!!
 
Hilo gazeti lilimnukuhu kiongozi gani wa CHADEMA?! Isije ikawa mtu wa CHADEMA kwa mapenzi yake binafsi amesema hivyo kisha watu wana-conclude CHADEMA imesema!! Propaganda zingine wala hazina rutuba!
 
Magamba kila wakilala, wakiamka wanaiwaza Chadema. Hawa Magamba watakufa ni horo mwaka huu.

laana inawandama kwa kudhuru na kuandaa mipango ya kudhuru watu wasio na hatia. lwakatare na wenziwe......
 
Back
Top Bottom