GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!
Nini madhara ya kauli hii ya CHADEMA katika nyanja za kidiplomasia?
je CHADEMA kinatuma salamu gani kwa wWakenya waLIODECIDE kumpa kura za kishindo bwana Uhuru Kenyatta
Hivi SA sio taifa? South Africa's President Congratulates New Kenyan President
Kuna kesi imefunguliwa kupinga ushindi wake na pia yeye anahitajika ICC kujibu tuhuma za mauaji ya watu zaid ya 1000 chadema haiwezi kuunga mkono wauaji!
Kwanza asilimia 50.07% siyo ushindi wa kishindo (Landslide victory), aidha CHADEMA sidhani kama wametokea tamko hilo unless utuwekee PRESS RELEASE yao tukuamini....!!!
CHADEMA hakiwezi kukurupuka kama JK alivyokurupuka kumpongeza Kenyatta huku akijua kwamba bado hajaapishwa na vile vile kuna uwezekana matokeo yakatenguliwa na Mahakama.Sasa hivi wanaomba mahakama isitoe ruling in favour of CORD maana itakua embarassement kidiplomasia.
Wanadiplomasia na mataifa mengine wamewapongeza wakenya na kukwepa jina la Uhuru lakini hapa tumekurupuka
Time will tell killers remain killersKuwa makini mkuu, inaelekea ushatoa hukumu tayari ya kuwaita watuhumiwa "wauaji".
Nadhani pia umeyasikia ya Muthaura, vipi kama nae angekkua ameitwa kama ulivyomuita rais mteule wa Kenya?
Chadema walimtia gundu RAILA
Bavicha wanajifanya hawauoni huu uzi.
ni 2013 soma tarehe. 2017 wamebadili gear wanamuunga mkono kenyatta.Na wasiwasi na kauli ya CHADEMA,msemaji ni nani? Hiyo ni habari,kwa nini haikuandikwa na Tanzania Daima? Sauti watueleze alietoa kauli ninani?