CHADEMA: Odinga ameibiwa kura

Hii taarifa haitakuwa na ukweli ndani yake kwani Chadema walishatangaza toka awali kumuunga mkono Kenyatta na hata kwenye campaign za Kenyatta za lala salama mjumbe wa halmashauri kuu Chadema na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa alihudhuria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: PNC
Kijana rudi studio CD yako haijaaminika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wanamuunga mkono Raila au Uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia vizuri utaona hii ni post ya 2013! Imerudishwa tu...
 
Bora muangalie hata makonda anavyo hangaika kujieleza [emoji23][emoji23][emoji23]

Don't put all egg on one Basket
 
2013!!! too late to catch the train!! Uhuru ameshawasikia mlipokuwa Tanga. Amejibu kuna vinchi vinategemea 40% ya bajeti yake kwa donors----------------------
 
Hujapatikana!
 

mkuu umekurupuka vibaya hadi unatia huruma nimeamini sisi watu weusi tuna matatizo saana ya kiakili, hivi kabla huja comment uliisoma vizuri hiyo post na kujua ni mwaka gani? post ya uchaguzi uliopita hata marehem Ben saanane alikua hai na ali comment, hiyo ilikua mwaka 2013, sasa mwenzangu ulivyoingia mkenge hadi nakuhurumia
 
Motive yao yafanana na ile ya kuingilia mambo ya CUF
 
Ahsante JF kwa kutunza kumbukumbu zetu kule archive
 
Kuna kesi imefunguliwa kupinga ushindi wake na pia yeye anahitajika ICC kujibu tuhuma za mauaji ya watu zaid ya 1000 chadema haiwezi kuunga mkono wauaji!
Tufukie tu hili kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…