Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Duuuuuh,, tayari.
Kapo kazee kamoja kaliita shit hole area,sijui kalikuwa kamewehuka ama ilikuwa tu busara za uzeeni?Yafaa tujiulize ilikuwa busara ama mzee alikuwa mwehu?Yaani watu Wana kikao Cha ndani wanavamiwa, asiee!! This is too much!
Polisi wana njaa sanawakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Wataambiwa sheria za TCRA haziruhusu kuendesha vikao mtandaoni.Wabadili mbinu.
Vikao vifanyike kwa njia ya Mtandao
Kuna press ya ******* inasambaa kwamba walikuwa wanapanga uhalifuChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3444376View attachment 3444377
Yani chama kimepigwa marufuku na mahakama kufanya kazi yoyote ya kisiasa eti kinafanya kikao cha ndani. Huu ni muendelezo wa kutotii sheria na kutafuta huruma.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
View attachment 3444376View attachment 3444377
This Riot until whenChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.