Michael Dudicoff
JF-Expert Member
- Aug 20, 2024
- 233
- 296
Si mahakama imewazuia chadema kufanya shughuli zozote za kisiasa hadi kesi yao ya mgawanyo wa mapato na raslimali za chadema kati ya Tanzania bara na Zanzibar itakapotolewa uamuzi.Yaani watu Wana kikao Cha ndani wanavamiwa, asiee!! This is too much!
Au hicho kikao cha ndani haikuwa kikao cha kisiasa ila ilikuwa kikao cha harusi?!