Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We ni taahira kwlKuna haja ya kuweka mtego na kufanya makaburi kwa wahuni. Itasaidia kuheshimu sheria za nchi.

Mnapenda sana kuvunja maagizo ya mahakama.Chadema kimekuwa chama cha hovyo sanaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Soma > Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu
Chadema ya sasa ni km wapumbavu fulani, chadema ilikua ile dr slaa a.k.a nguvu ya umma.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Soma > Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu
Wana pupit wengi.Kabisa, ila onlines meeting ni very effective zina save time meeting ziko safe na manaweza kukutana online hata usiku wa manane provided kuna internet connection
Yaani kufanya hivi kila kitu kinaenda bila wasi unless atokee mtu ambaye siyo muaminifu alikishe meeting agendas
🤔🤔🤔💭🔊I see it coming
View attachment 3444435
🙋✍️👍🤝🙏Kamwe, naapa, sitakubali mwanangu au ndugu yangu yeyote kuwa polisi. Kwa Tanzania, kuwa polisi ni kukubali kuwa shetani. Hii kazi kwa Tanzania ni laana, na ni lango la kuingilia kwenda kwenye utawala wa shetani.
Mkinge mwanao, mkinge ndugu yako na rafiki yako, usikubali wawe polisi, yaani wawe miongoni mwa waliolaanika.
Mungu wetu tunakuomba laana yako ikakae juu ya hawa watu wadhulumaji wa haki, na hao wanaowatuma.
Bila shaka, wamelaanika polisi wa Tanzania kuliko viumbe vyote, ndiyo maana wamekuwa vyombo vya kutekelezea uovu badala ya kuwa walinzi wa amani.
🤔 🤔 🤔 💭 ✍️👍🤝🙏Polisi hapo ndipo wanapofanya waonekane wazi wanatumika kuwafurahisha watawala.Hii nchi ni yetu wote,kama hawataki CHADEMA kwanini wasikifute hicho chama kwa nguvu tu?
Msajili ni wao,wakili wa serikali ninwao,tume ni yao poa,sasa wanashindwa nini?
Hii inaleta hasira sana,katiba ifanyiwe review.
🤔 🤔 🤔 🤔 💭 🔊Kuna haja ya kuweka mtego na kufanya makaburi kwa wahuni. Itasaidia kuheshimu sheria za nchi.
🤔 🤔 🤔 🤔 💭 🔊Kuna press ya ******* inasambaa kwamba walikuwa wanapanga uhalifu
🤣🤣🤣🔈🎶Kapo kazee kamoja kaliita shit hole area,sijui kalikuwa kamewehuka ama ilikuwa tu busara za uzeeni?Yafaa tujiulize ilikuwa busara ama mzee alikuwa mwehu?
🤔 🤔 🤔 💭 🔊Mnapenda sana kuvunja maagizo ya mahakama.Chadema kimekuwa chama cha hovyo sana
🤣 🤣 🤣 🔊Chadema ya sasa ni km wapumbavu fulani, chadema ilikua ile dr slaa a.k.a nguvu ya umma.
🤣 🤣 🤣 🔊Mama ako Bora angebeba Jiwe miezi Tisa kuliko kiande Kama wewe.
Hiki chama kimefutwa, kwa hiyo huo ni mkusanyiko haramuChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Soma > Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu
Wana WOGA siyo mchezo!Duh, chama kilichokufa kinaandamwa balaa...
Kuna press ya ******* inasambaa kwamba walikuwa wanapanga uhalifu
Hiki chama kimefutwa, kwa hiyo huo ni mkusanyiko haramu
Mahakama si imewazuia chadema kufanya shughuli zozote za kisiasa hadi kesi yao ya mgawanyo wa mapato na raslimali za chadema kati ya Tanzania bara na Zanzibar itakapotolewa uamuzi.Polisi hapo ndipo wanapofanya waonekane wazi wanatumika kuwafurahisha watawala.Hii nchi ni yetu wote,kama hawataki CHADEMA kwanini wasikifute hicho chama kwa nguvu tu?