komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Zakayo, mfupi, akili fupi. Sio mbaya.Yani chama kimepigwa marufuku na mahakama kufanya kazi yoyote ya kisiasa eti kinafanya kikao cha ndani. Huu ni muendelezo wa kutotii sheria na kutafuta huruma.
Duh!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Soma > Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Soma > Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu
HII AKILI KUBWAWabadili mbinu.
Vikao vifanyike kwa njia ya Mtandao
Ngoja tuoneI see it coming
View attachment 3444435
Hata hivyo lazima wakutane mahotelini ? Si waende mahala invisible kabisa na simu waziache ??Ila ndugu zangu wanachadema manaweza kufanya vikao kama viongozi bila hata ya kukutana na kwa muda wowote hata usiku wa manane ,, tumieni technologia jamani siku hizi kila kitu kimerahisishwa hizo gharama za kufunga safari kukutani ni bora ukanunua bandle yako ya internet mkafanya vikao online
Hii itasaidia sana kuepukana na hizi ghasia za kusumbuliwa sumbuliwa na POLCCM
kitengo cha IT na mawasiliano tazameni hili kwa ukaribu
Kuna vitu vinatia hasira sanaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Soma > Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu
Wazo zuri..Ila ndugu zangu wanachadema manaweza kufanya vikao kama viongozi bila hata ya kukutana na kwa muda wowote hata usiku wa manane ,, tumieni technologia jamani siku hizi kila kitu kimerahisishwa hizo gharama za kufunga safari kukutani ni bora ukanunua bandle yako ya internet mkafanya vikao online
Hii itasaidia sana kuepukana na hizi ghasia za kusumbuliwa sumbuliwa na POLCCM
kitengo cha IT na mawasiliano tazameni hili kwa ukaribu
Walikuwa wanaulizwa majina ikisaund kiarabu unaachwa,kama Kule garisaDuh!
Wamekamatwa wagala watupu, hakuna Muslim ht mmoja
Kabisa, ila onlines meeting ni very effective zina save time meeting ziko safe na manaweza kukutana online hata usiku wa manane provided kuna internet connectionHata hivyo lazima wakutane mahotelini ? Si waende mahala invisible kabisa na simu waziache ??
Kama the wanashindwa U - Cuba na U - Israel (ukomandoo) sasa hivi tukiwapa Nchi wataweza ?
Nyerere alifanyia vikao vingine kwenye bao, draft, nk hadi tukapata Uhuru.
Tumechoka kuokota maiti za Watanganyika wasio na hatia.
Halafu ndani yenu mna wasaliti wanaotoa taarifa. Simu zote zikusanywe. Kikao kipangwe nyumba Y. Na wajumbe wakifika mnasalimisha simu mahala na kuhamia sehemu K, na mkifika sehemu K mnahamia penyewe husika Sehemu A.
Polisi wapewe kongole hao wapuuzi ni wahalifu walikuwa wanapanga njama za kufanya uhalifu. Wabanwe pumbu waeleze kila kituChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na wadau wote wa demokrasia nchini kuwa, jana Jumamosi, Agosti 16, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilivamia kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wetu kilichokuwa kikifanyika Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Katika uvamizi huo, Polisi waliwakamata wanachama wetu sita pamoja na raia wasio na hatia, ambao ni wakazi wa nyumba jirani na eneo la kikao. Waliokamatwa ni:
1. Pendo Msechu
2. Pendo Kyosi
3. Mary Mushi
4. Samson Mzambia
5. Focus Laurent
6. Alfred Bundala
Aidha, Polisi walifanya upekuzi ndani ya ukumbi, kwenye nyumba na kwenye magari yaliyokuwa eneo hilo, na wakaondoka na nyaraka muhimu za chama pamoja na fedha taslimu za Kitanzania.
Waliokamatwa walichukuliwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza ni kwamba Polisi wa Central walikana kuendelea kuwashikilia.
Tunaona kitendo hiki kama muendelezo wa Serikali kutumia vyombo vya dola kuishambulia Chadema na kukandamiza haki za raia.
Chadema inalitaka Jeshi la Polisi kutoka hadharani na kueleza:
1. Kwa nini lilivamia kikao cha ndani cha wanachama wa Chadema?
2. Kwa nini limewakamata wanachama wetu bila sababu za msingi?
Tunawakumbusha Jeshi la Polisi kuwa wajibu wao kwa mujibu wa sheria za nchi ni kulinda raia na mali zao, na siyo chombo cha kukandamiza vyama vya upinzani.
Chadema itaendelea kusimama kidete kupigania haki, uhuru wa wananchi na ustawi wa demokrasia nchini.
Imetolewa leo Jumapili, Agosti 17, 2025 na:
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Soma > Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu
Bibi yako?SAsa huyo bibi kwani anatakaje tena??!!