GE2025 CHADEMA: Polisi wamevamia Kikao chetu cha ndani Kibaha, wanachama Sita wakamatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mnapenda sana kuvunja maagizo ya mahakama.Chadema kimekuwa chama cha hovyo sana
 
Chadema ya sasa ni km wapumbavu fulani, chadema ilikua ile dr slaa a.k.a nguvu ya umma.
 
Wana pupit wengi.
 
Kamwe, naapa, sitakubali mwanangu au ndugu yangu yeyote kuwa polisi. Kwa Tanzania, kuwa polisi ni kukubali kuwa shetani. Hii kazi kwa Tanzania ni laana, na ni lango la kuingilia kwenda kwenye utawala wa shetani.

Mkinge mwanao, mkinge ndugu yako na rafiki yako, usikubali wawe polisi, yaani wawe miongoni mwa waliolaanika.

Mungu wetu tunakuomba laana yako ikakae juu ya hawa watu wadhulumaji wa haki, na hao wanaowatuma.

Bila shaka, wamelaanika polisi wa Tanzania kuliko viumbe vyote, ndiyo maana wamekuwa vyombo vya kutekelezea uovu badala ya kuwa walinzi wa amani.
 
🙋✍️👍🤝🙏
 
🤔 🤔 🤔 💭 ✍️👍🤝🙏
 
Hiki chama kimefutwa, kwa hiyo huo ni mkusanyiko haramu
 
Mahakama si imewazuia chadema kufanya shughuli zozote za kisiasa hadi kesi yao ya mgawanyo wa mapato na raslimali za chadema kati ya Tanzania bara na Zanzibar itakapotolewa uamuzi.
Au hicho kikao cha ndani haikuwa cha kisiasa ila ilikuwa kikao cha harusi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…