Si mahakama imewazuia chadema kufanya shughuli zozote za kisiasa hadi kesi yao ya mgawanyo wa mapato na raslimali za chadema kati ya Tanzania bara na Zanzibar itakapotolewa uamuzi.
Au hicho kikao cha ndani haikuwa kikao cha kisiasa ila ilikuwa kikao cha harusi?!
Sema kikao kilikuwa cha wagala watupu hakuna Muslim ht mmoja.
Cha kushangaza hapo sio kwanini wamekamatwa wagala bali ni kwanini kwenye kikao hicho Muslim hawakualikwa!
Polisi wasingeweza kuwakamata Muslim wakati hawapo kwenye kikao!.
Yani chama kimepigwa marufuku na mahakama kufanya kazi yoyote ya kisiasa eti kinafanya kikao cha ndani. Huu ni muendelezo wa kutotii sheria na kutafuta huruma.