Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
None of your business.Ulijichukua muda gani kufikiria na kupanga points zako kabla hujaandika hivi mkuu?
Nauliza kwa uzuri tu.
Itawacost sana...Seriously haw a watu ni kama watoto yatika waliokosa malezi ni miongozo ya kuwafanya wawe na ustaarabu wa kibinadamu!
Mh..uliona kwa macho yako? Maana askari aanze kukushambulia kama mwehu! Bila sababu. Huna haja ya kutukana. Watanzania sio wajinga.Ila kama ulikuwepo na ukaona walipigwa bila kosa.Nenda kamuone Mambo sasa maana hapo askari watakuwa wamefanya makosa.Hivi mtu unamfungukia gate. Unamwandikisha jina kwenye kitabu chako. Unamruhusu aendelee mbele, halafi askari wengine wanaanza kuwapiga na kusema wamevamia gereza. Ina maana walivunja gate?
Uwe na akili ya kufikiri. Watu kama ninyi ndio mnaolengwa na watu wajinga kwa kuamini kuna wajinga kuwazidi wao.
Sikiliza hiyo clip kwa umakini "jaduong" na wana kesi mahakamani.Sasa unaleta pindisa minenoWewe "Mami" ulitaka Cdm wafanye Je ?!. Mbona Mashinji alipokelewa bila kelele na ma camera gerezani ?!. Mbona kina Ester na Halima walipokelewa bila mbwembwe ?! . Mbona Msigwa alipokelewa na teams mbili za Ccm na Cdm bila fujo na kelele ?! Ilikuwa Je ilipofikia kwa Mbowe mambo yalibadilika ?!.
Hizi hadithi ulizoandika hapa zinanikumbusha askari makaburu SA nao walikuwa hivi hivi , na walifikiri wanadhibiti wapigania Uhuru , Leo wako wapi ?! Kuwaacha wana Cdm wamchukue kiongozi wao kama Polepole alivyomchukua Dr Mashinji kungeliigarimu nini serikali ?!
Wananchi tena walio wengi wapo na Cdm . Double standard haimsaidii mkuu kuwa kiongozi bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Onghwise, ni hivi porojo za Mambosasa una hiyari ya kuziamini [emoji120]. Unaamini Wana Cdm walienda kuvamia gerezani ili kumtoa Mbowe ?!. Basi shule hiyo hakukusaidia kwenye "tafakuri".Sikiliza hiyo clip kwa umakini "jaduong" na wana kesi mahakamani.Sasa unaleta pindisa mineno
Message sent and derivered to youSympath ni nini? Hata autocorrect hazisaidii?
Anza kwanza, rudi darasani ukajifunze kusoma, la le li lo lu ili ujue neno sahihi ni, "wabadilike" badala ya "wabadirike".