CHADEMA public sympath haitawasaidia, kama kushindwa mmeshashindwa

Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.

Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.

Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?

Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.

Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!

Unategemea nini kutoka kwa mwanachama wa ccm aongeleeje CDM?

We all knew what nonsense you’ll be busting!
 
Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.

Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.

Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?

Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.

Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Make it free and fair. All answers are on the wall.
 
Wewe ndiyo hujui kabisa dunia inaendelea wapi !!. Utawala wa Sheria unaujua kweli ?!.

Elimu yetu ya upe, memm na shule za kata imezaa mizigo. Na huyu ni moja wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe boya tulia! ww ndo kajifunze jinsi ulimwengu unavyopractice huo uhuru wa sheria ! Unataka utawala wa sheria bongo ? Democracy bongo shame on you ! Hata hao walioanzisha hivi vitu hawafanyi ujinga unaoendelea unataka democracy bongo ? Bongo kweli ! Jifunzeni kufuata huo utawala wa kisheria !
Akili zako za kushikiwa hizo wake up mazzza fucker ww
 
Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.

Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.

Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?

Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.

Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
We takataka Ulikuwepo eneo la tukio? Kajisaidie ukalale. Acha Hearsays!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom