Onghwise, ni hivi porojo za Mambosasa una hiyari ya kuziamini [emoji120]. Unaamini Wana Cdm walienda kuvamia gerezani ili kumtoa Mbowe ?!. Basi shule hiyo hakukusaidia kwenye "tafakuri".
Nimekuuliza maswali ktk hoja ya kwanza, wala hukujibu halafu unadai kupindishwa maneno ?!.
Tatizo lililopo ni kuwa serikalini hawakutegemea kama wananchi bado wanaithamini Cdm . Na ndiyo maana unaona sarakasi hizi za mara ikulu kungangania kulipa sehemu ya faini !!. Ajabu unazua tatizo halafu unajifanya kuwa na huruma kuutatua tatizo lenyewe. Kumbuka kisa cha kikokotoo
Mwambieni wa mukaya afanye Tu kazi . Na mambo ya kupendwa yaje yenyewe , wasilazimishe [emoji120]. Wiraga mami
Sent using
Jamii Forums mobile app