Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
- #61
Unaishi Tanzania?Mbona mnajihangaisha na mtu aliekufa?tangia lini mkaogopa maiti?mbona inaonekana mnawaogopa zaidi ya alivyokuwepo dr Slaa?
Unaishi Tanzania?Mbona mnajihangaisha na mtu aliekufa?tangia lini mkaogopa maiti?mbona inaonekana mnawaogopa zaidi ya alivyokuwepo dr Slaa?
CORONA imetulinganisha wote, sasa tunatambua kuwa wote ni binadamu.Huu ndiyo unyani wa ukweli..wazungu awakosea ata siku mmoja.Wanyama wenye rangi nyeusi awawezi kuitwa binadamu au watu kamili.HALF HUMANS
Ww siyo askari na hujui masahibu askari wetu wanayokutana nayo ktk kazi zao! Ww unapowafanya kazi yao iwe ngumu kwa ujinga wako lazima wakuweke kwenye nafasi inayostahili ili siku nyingine mtu pungu kama huyu akijaribu tena ajue kitakachomkuta! Ww hujiulizi askali wachache hawa wanawezaje kuwafanya wananchi watulie wanapokuwepo wachache tu! Ni kwa aina ya kipigo wanachoweza toa endapo utajifanya hamnazo! Kwako hii ita matope lakini kwa askari hii ni kitu muhimu kunusuru upuuzi kama huo baadaye!So unapiga kuonesha jamii nini kitatokea iwapo mtu atafanya hivyo!Daah yaani mtu yuko chini ya ulinzi,ila unamfanya wa mfano kwa kumpa kichapo ili wengine waone,daah hizi ni akili au matope?Shame!
Sio kazi ya askari kusulubu mtu ili iwe funzo kwa wengine,hiyo ni kazi ya mahakama!
Acha ujinga wako kama unaona kuna haki tuoneshe polisi aliyeshitakiwa kwa kumpiga risasi AkwilinaHakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Kwani unadhani hatuoni yanayotokea huko duniani?Ingia youtube uone namna askari wanavyodeal na waandamanaji!Yaani mpaka mwenyewe utashangaa!Huwezi kukuta askari anampiga mtu asiye na silaha na ambaye wameshamdhibiti!Na iwapo watafanya hivyo basi wanachukuliwa hatua!Kuna askari wa kutuliza ghasia USA nitakuwekea clip hapa,alifukuzwa baada ya kuonekana akimpiga ngumi mwanamama aliyekuwa chini ya ulinzi!Ww siyo askari na hujui masahibu askari wetu wanayokutana nayo ktk kazi zao! Ww unapowafanya kazi yao iwe ngumu kwa ujinga wako lazima wakutuweke kwenye nafasi inayostahili ili siku nyingine mtu pungu kama huyu akijaribu tena ajue kitakachomkuta! Ww hujiulizi askali wachache hawa wanawezaje kuwafanya wananchi watulie wanapokuwepo wachache tu! Ni kwa aina ya kipigo wanachoweza toa endapo utajifanya hamnazo! Kwako hii ita matope lakini kwa askari hii ni kitu muhimu kunusuru upuuzi kama huo baadaye!
Marekani unachapwa risasi za moto kabisa siyo virungu! Jaribu ku'google' ujue!
Hao unaowaamini waende kwanza kuripoti haki za binadamu marekani…wamarekani wenye asili ya kiafrica wanachapa risasi wakiwa hawana siraha na wamejisalimisha! Hao jamaa zenu mbona hatuoni kulipoti popote! Ww kwa ufinyu wa mawazo unafikiri kila kitu kinachoripotiwa hao jamaa zako ni sawa bila kujua kuna 'interest' zao nyuma yake! Wakaripoti ukiukwaji wa haki za binadamu syria, libya, irak nk! Hao ni wahuni kama wahuni wengine. Nchi zao watokazo zinaukiukwaji wa haki za binadamu kuliko hata huku kwetu! Hivyo usiniletee ripoti ya hao jamaa zako ukifiri mie hata nitashtuka!Kada aliyekunywa maji ya kijani hawezi kuelewa!Kama unaona haya yanayotendeka ni sawa basi akili yako ina matatizo!Hata jumuiya za kimataifa zimeshatoa report zao mbalimbali juu ya ukandamizwaji wa haki kulikokithiri katika awamu hii ya 5?Hao nao ni Chadema?LHRC nao ni Chadema?
Shwain!
Kwahiyo tuamini tu report ya mambosasa?Acheni ujinga,uzuri hayo wanayosema,watanzania tunayaishi!Sio kwamba ni habari ngeni!Wanachokisema kinashabihiana na hali halisi,wala hatukuhitaji wao watueleze ili tujue,walichokifanya ni kuthibitisha kile ambacho tayari watanzania tunakijua!Aliye kwenye shibe hajui mwenye njaa anakutana na kadhia zipi!Wewe kama kada huwezi kuona wengine wanavyonyanyasika maana weww hujaguswa!Hao unaowaamini waende kwanza kuripoti haki za binadamu marekani…wamarekani wenye asili ya kiafrica wanachapa risasi wakiwa hawana siraha na wamejisalimisha! Hao jamaa zenu mbona hatuoni kulipoti popote! Ww kwa ufinyu wa mawazo unafikiri kila kitu kinachoripotiwa hao jamaa zako ni sawa bila kujua kuna 'interest' zao nyuma yake! Wakaripoti ukiukwaji wa haki za binadamu syria, libya, irak nk! Hao ni wahuni kama wahuni wengine. Nchi zao watokazo zinaukiukwaji wa haki za binadamu kuliko hata huku kwetu! Hivyo usiniletee ripoti ya hao jamaa zako ukifiri mie hata nitashtuka!
Kesi ngapi za kutengeneza wanazo?Sikiliza hiyo clip kwa umakini "jaduong" na wana kesi mahakamani.Sasa unaleta pindisa mineno
Umefuatilia kujua walishambuliwa wakiwa eneo gani? Unajua utaratibu wa kuingia gereza lile ukoje?Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Ukada upo moyoni mwa mtu! Tunapita na kufanya kazi zetu bila kubugudhi wengine wala kuwapa nafasi askari kufanya mazoezi ya viungo kupitia miili yetu! Hivyo ndivyo tumekuwa tunaishi! Kutii sheria pasi shuruti! Kwa sababu usipotii kwa hiari utalazimishwa tu kutii kwa lazima! Sasa kwanini u'tempt fate'! Mwenye hekima akiona hatari hujihifadhi!Kwahiyo tuamini tu report ya mambosasa?Acheni ujinga,uzuri hayo wanayosema,watanzania tunayaishi!Sio kwamba ni habari ngeni!Wanachokisema kinashabihiana na hali halisi,wala hatukuhitaji wao watueleze ili tujue,walichokifanya ni kuthibitisha kile ambacho tayari watanzania tunakijua!Aliye kwenye shibe hajui mwenye njaa anakutana na kadhia zipi!Wewe kama kada huwezi kuona wengine wanavyonyanyasika maana weww hujaguswa!
Kama tuamini au tusiamini hilo halinihusu! Nachosema, hao jamaa ambao ripoti zao unazihusudu mimi siwaamini hata nucta! Ni wapuuzi tu kama walivyowapuuzi wengine! Wanaripoti ubaya wa taifa letu kana kwamba mataifa yao wanaishi kama maraika wa Mungu aliyehai! Ni wanafiki tu na ripoti zao hazina mashiko kwangu!Kwahiyo tuamini tu report ya mambosasa?Acheni ujinga,uzuri hayo wanayosema,watanzania tunayaishi!Sio kwamba ni habari ngeni!Wanachokisema kinashabihiana na hali halisi,wala hatukuhitaji wao watueleze ili tujue,walichokifanya ni kuthibitisha kile ambacho tayari watanzania tunakijua!Aliye kwenye shibe hajui mwenye njaa anakutana na kadhia zipi!Wewe kama kada huwezi kuona wengine wanavyonyanyasika maana weww hujaguswa!
Wengine nyie ni Tomasso,mpaka siku utakapoonja ladha ya kuwa huru katika nchi yako utaelewa tulikuwa mahali gani!Kwasasa huwezi kutambua,nakuombea maisha marefu ili uje ushuhudie siku moja Tanzania iliyo huru yenye upendo na amani,achana na hii ya mkoloni mweusi ambapo kiwango cha chuki baina watu kinazidi kuongezeka!Majanga kwa wengine ni furaha kwa wengine!Ukada upo moyoni mwa mtu! Tunapita na kufanya kazi zetu bila kubugudhi wengine wala kuwapa nafasi askari kufanya mazoezi ya viungo kupitia miili yetu! Hivyo ndivyo tumekuwa tunaishi! Kutii sheria pasi shuruti! Kwa sababu usipotii kwa hiari utalazimishwa tu kutii kwa lazima! Sasa kwanini u'tempt fate'! Mwenye hekima akiona hatari hujihifadhi!
Kwani unadhani hatuoni yanayotokea huko duniani?Ingia youtube uone namna askari wanavyodeal na waandamanaji!Yaani mpaka mwenyewe utashangaa!Huwezi kukuta askari anampiga mtu asiye na silaha na ambaye wameshamdhibiti!Na iwapo watafanya hivyo basi wanachukuliwa hatua!Kuna askari wa kutuliza ghasia USA nitakuwekea clip hapa,alifukuzwa baada ya kuonekana akimpiga ngumi mwanamama aliyekuwa chini ya ulinzi!
Acheni upuuzi,mnatetes upumbavu tu!
Kinachokuuma ni kuwa wanareport yanayotokea kwetu wakati na wao wana yakwao?Hapa ndipo ufinyu wako wa fikra ulipo,unaambiwa mwanao mwizi na wewe unasema hata wa kwako naye mwizi!Crap!Kama tuamini au tusiamini hilo halinihusu! Nachosema, hao jamaa ambao ripoti zao unazihusudu mimi siwaamini hata nucta! Ni wapuuzi tu kama walivyowapuuzi wengine! Wanaripoti ubaya wa taifa letu kana kwamba mataifa yao wanaishi kama maraika wa Mungu aliyehai! Ni wanafiki tu na ripoti zao hazina mashiko kwangu!
Una akili za kushikiwa, hebu tulia na hii kwanza!
Crap ni ww unakuwa na ufinyu wa kuelewa nachokisema!Kinachokuuma ni kuwa wanareport yanayotokea kwetu wakati na wao wana yakwao?Hapa ndipo ufinyu wako wa fikra ulipo,unaambiwa mwanao mwizi na wewe unasema hata wa kwako naye mwizi!Crap!
Una akili za kushikiwa, hebu tulia na hii kwanza!
Unajaribu kusemaje kwa mfano?
Angalia huko mnakofikiria kupo salama mambo yanayotokea!
Kwetu kupo pouwa ukilinganisha na makwao! Hivyo tutapambana na hali zetu wenyewe, kwa njia zetu wenyewe!
Angalia huko mnakofikiria kupo salama mambo yanayotokea!
Kwetu kupo pouwa ukilinganisha na makwao! Hivyo tutapambana na hali zetu wenyewe, kwa njia zetu wenyewe!