Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
-
- #21
Jaduong ulitaka nijibu nini? Wakati unajua kabisa kama taratibu zikifuatwa hamna tatizo. Najua awali taratibu zilifuatwa hawa waliorudi mara ya pili nafikiri Police na Magereza wametoa majibu.Onghwise, ni hivi porojo za Mambosasa una hiyari ya kuziamini [emoji120]. Unaamini Wana Cdm walienda kuvamia gerezani ili kumtoa Mbowe ?!. Basi shule hiyo hakukusaidia kwenye "tafakuri".
Nimekuuliza maswali ktk hoja ya kwanza, wala hukujibu halafu unadai kupindishwa maneno ?!.
Tatizo lililopo ni kuwa serikalini hawakutegemea kama wananchi bado wanaithamini Cdm . Na ndiyo maana unaona sarakasi hizi za mara ikulu kungangania kulipa sehemu ya faini !!. Ajabu unazua tatizo halafu unajifanya kuwa na huruma kuutatua tatizo lenyewe. Kumbuka kisa cha kikokotoo
Mwambieni wa mukaya afanye Tu kazi . Na mambo ya kupendwa yaje yenyewe , wasilazimishe [emoji120]. Wiraga mami
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh..uliona kwa macho yako? Maana askari aanze kukushambulia kama mwehu! Bila sababu. Huna haja ya kutukana. Watanzania sio wajinga.Ila kama ulikuwepo na ukaona walipigwa bila kosa.Nenda kamuone Mambo sasa maana hapo askari watakuwa wamefanya makosa.
Hakuna mwenye akili timamu afike jela Na kuanza vurugu Na kwann waumizwe hao Na wasiwe wengine uoni Kama ni maagizoMh..uliona kwa macho yako? Maana askari aanze kukushambulia kama mwehu! Bila sababu. Huna haja ya kutukana. Watanzania sio wajinga.Ila kama ulikuwepo na ukaona walipigwa bila kosa.Nenda kamuone Mambo sasa maana hapo askari watakuwa wamefanya makosa.
Ni kweli ila unapotoa tuhuma uwe na ushahidi, mfano tukio kama lile kuuwawa Daud Mwangosi nani alifurahi? Tunahitaji mnapotuhumu muwe na ushahidi sio hisia.Kwani ni Mara ya kwanza kwa askari kutenda matendo mabaya? Muda Fulani tujaribu kuwa na Afya njema ya Akili. Askari wanàtumika vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Mbona Bashiru kasema wazi? Amesema kuwa CCM INATUMIA VYOMBO VYA DOLA KUBAKI MADARAKANI. Kasema wazi bila chenga. Polisi ni chombo cha dola. Wakiwashughulikia wapinzani unatafuta sababu gani nyingine? Magereza ni chombo cha dola. Wakiwashughulikia Chadema unatafuta sababu gani tena zaidi ya hiyo?Ni kweli ila unapotoa tuhuma uwe na ushahidi, mfano tukio kama lile kuuwawa Daud Mwangosi nani alifurahi? Tunahitaji mnapotuhumu muwe na ushahidi sio hisia.
Amekuwa mwepesi kuliko karatasi!Ulijichukua muda gani kufikiria na kupanga points zako kabla hujaandika hivi mkuu?
Nauliza kwa uzuri tu.
Hao askari walionyesha ustaarabu wa kibinadamu?Seriously hawa watu ni kama watoto yatima waliokosa malezi na miongozo ya kuwafanya wawe na ustaarabu wa kibinadamu!
Kwendaaa uko.... Alotoa amri ya kupiga nakuvunja miguu nani...Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Sio mara moja tumeona askari wakitumia mabavu kwa mambo mepesi sana!Askari wa nchi hii ukiwapeleka Ulaya,nadhani ndani ya muda mfupi wataua raia wengi sana!Mh..uliona kwa macho yako? Maana askari aanze kukushambulia kama mwehu! Bila sababu. Huna haja ya kutukana. Watanzania sio wajinga.Ila kama ulikuwepo na ukaona walipigwa bila kosa.Nenda kamuone Mambo sasa maana hapo askari watakuwa wamefanya makosa.
Mambosasa akikwambia ni mchana toka nje kahakikishe!Hatuzasahau sinema zake;Sikiliza hiyo clip kwa umakini "jaduong" na wana kesi mahakamani.Sasa unaleta pindisa mineno
Issue hapa ni moja,linapokuja suala la upinzani askari hujitahidi kutumia nguvu zisizo za lazima kumfurahisha Magufuli mwenyewe!Tatizo lako unakosea unasema Kamanda Mambosasa kama vile anasema ukweli na yuko huru. Yaani mnataka kuaminisha Watanzania hawa viongozi wanawake walishindwa kuzuiwa mpaka wavunjwe mikono. Watanzania sio wajinga kiasi hiki wengi wanaelewa kilichotendeka hakuna haja ya kuendelea. Magufuli alimwambia huyo huyo Mambosasa kwamba Watanzania sio wajinga wakati Mo alivyotekwa leo unataka Watanzania wamwamini tu kwasababu za kisiasa🤔
Wewe ndiyo hujui kabisa dunia inaendelea wapi !!. Utawala wa Sheria unaujua kweli ?!.Umenena vyema mkuu siasa ya hawa watu wanataka sana iyo sympath si Tanzania tu wanaitaka ifike hadi huko nje wanadhani hii nchi kila mtu ni ccm tu wale magereza wapo kazini unaenda kuwaletea mambo ya siasa wanayajua wapi ? Nilimsikia juzi kati halima mdee wakat katoka anajitapa eti ooh nimekinukisha humo ndani wanatujua sana nikawaza sana hawa wao kuwa wabunge wanawadharau sana askari wetu kwa kuhisi kama wanatumwa na ccm meen hawa wajuba wapo kazini unapoenda kuwaletea utaratibu wako kwenye kazi yao tena unakuta mtu ana stress za. Kazi mshahara wenyew mdogo unategemea nini ? Msemo wa Pinda utapigwa tu wale jamaa hawana cha mheshimiwa wala nn
Heshimu kazi za watu
Umeandika ujinga...rudia kusoma ulichoandika....Umeandika kama msomi wa jalalani......Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Hivi mtu unamfungukia gate. Unamwandikisha jina kwenye kitabu chako. Unamruhusu aendelee mbele, halafi askari wengine wanaanza kuwapiga na kusema wamevamia gereza. Ina maana walivunja gate?
Uwe na akili ya kufikiri. Watu kama ninyi ndio mnaolengwa na watu wajinga kwa kuamini kuna wajinga kuwazidi wao.
Najua kuna wajinga wenzio hata humu watakakuona umeandika mambo ya maana but this total crap worth for low minds.
Next time muwe mnawabonyeza wasikurupuke.Magereza kuna FFU ni wakali na wameiva kuliko wale wa police.Maana wameandaliwa kupambana na ghasia za wafungwa.Sio mara moja tumeona askari wakitumia mabavu kwa mambo mepesi sana!Askari wa nchi hii ukiwapeleka Ulaya,nadhani ndani ya muda mfupi wataua raia wengi sana!
Sasa waliondaliwa kupambana na wafungwa hawajui kuwa hawa ni raia?Au ni kama mirobot tu isiyo na akili zaidi ya ile ya kuwa programmed?Next time muwe mnawabonyeza wasikurupuke.Magereza kuna FFU ni wakali na wameiva kuliko wale wa police.Maana wameandaliwa kupambana na ghasia za wafungwa.
No ukileta ubabe wanakushughulikia kwa mujibu wa sheria.Sasa waliondaliwa kupambana na wafungwa hawajui kuwa hawa ni raia?Au ni kama mirobot tu isiyo na akili zaidi ya ile ya kuwa programmed?