Ondoeni huo upuuzi wa kwa mujibu wa sheria!Sijawahi kuona mtu kama mbunge asiye na silaha tena mwanamke anashambuliwa na askari kiasi hicho mpaka kuvunjwa duniani!Hii nchi ya ajabu sana kisa kichaa mmoja kapewa rungu!No ukileta ubabe wanakushughulikia kwa mujibu wa sheria.
Sasa mbona raia wa kawaida wanaenda huko lakini hawashambuliwi? Wanapeleka chakula na kuwaona ndugu zao.Ondoeni huo upuuzi wa kwa mujibu wa sheria!Sijawahi kuona mtu kama mbunge asiye na silaha tena mwanamke anashambuliwa na askari kiasi hicho mpaka kuvunjwa duniani!Hii nchi ya ajabu sana kisa kichaa mmoja kapewa rungu!
Ndio ujiulize kwanini si Polepole bali hawa akina Halima!Au umesahau kichaa aliwahi sema "I wish i could be IGP"?Hapa ni baada ya kuona IGP katumia busara badala ya mabavu na hakuna aliyeumia,kichaa akakarika sana na kusema hayo,hii inatoa picha kuwa weledi sio jambo la msingi!Walio tofauti naye ni kichapo cha mbwa koko!Sasa mbona raia wa kawaida wanaenda huko lakini hawashambuliwi? Wanapeleka chakula na kuwaona ndugu zao.
Tatizo mmekosa sera na mikakati ya kujenga chama chenu,ila mnatafuta huruma ya wananchi.umeandika ujinga hapo juu.Samahani ila ndio ukweli. Unaingiza mada za hata hazina uhusiaano kabisaNdio ujiulize kwanini si Polepole bali hawa akina Halima!Au umesahau kichaa aliwahi sema "I wish i could be IGP"?Hapa ni baada ya kuona IGP katumia busara badala ya mabavu na hakuna aliyeumia,kichaa akakarika sana na kusema hayo,hii inatoa picha kuwa weledi sio jambo la msingi!Walio tofauti naye ni kichapo cha mbwa koko!
Hivi mtu unamfungukia gate. Unamwandikisha jina kwenye kitabu chako. Unamruhusu aendelee mbele, halafi askari wengine wanaanza kuwapiga na kusema wamevamia gereza. Ina maana walivunja gate?
Uwe na akili ya kufikiri. Watu kama ninyi ndio mnaolengwa na watu wajinga kwa kuamini kuna wajinga kuwazidi wao.
Najua kuna wajinga wenzio hata humu watakakuona umeandika mambo ya maana but this total crap worth for low minds.
Zina uhusiano wa moja kwa moja!Akili yako iruhusu iwe huru na utaelewa nini nazungumza!Lakini kama umekunywa maji ya kijani,ni sawa na kuvaa miwani ya mbao!Nakumbuka alivyomwambia spika awatoe nje wabunge wa upinzani wanaomsumbua ili huku nje awashughulikie,ni muendelezo ule ule!Tatizo mmekosa sera na mikakati ya kujenga chama chenu,ila mnatafuta huruma ya wananchi.umeandika ujinga hapo juu.Samahani ila ndio ukweli. Unaingiza mada za hata hazina uhusiaano kabisa
Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
[/QRaia si polisi.Yawezekana una hoja bali umeshindwa kuiwasilisha kiufasaha.
Kauli na vitendo vikienda sambamba huonekana wazi wazi. Yanayotendeka hayaendani na matamko ya magufuli. Huenda kukataliwa na kushushuliwa kwa mchango wake wa faini ulimfanya avimbe kiasi cha kuagiza "vibaraka" wake wawawinde na kuwafanyia hayo.
Huruma unayodai CDM wanaitafuta ni tafsiri yako kulingana na uwezo wako wa kuangalia,kudadavua na kuhitimisha! Hakuna awezaye mfundisha kiwete kusimama wima,hakujaaliwa. Pole kwa fikra dumavu.
Askali walitimiza kazi yao, magereza ni mahali nyeti umeambiwa sio pa kwenda kwenda ovyohovyo tu!Hao askari walionyesha ustaarabu wa kibinadamu?
Akili za nani sasa zinazotakiwa kuwa huru! Maana ww zako ndio zimekuwa 'fixed' kupakazia tu serikali na kuipaka mafuta tena kwa mgongo wa chupa chadema! Ww ndio unahitaji 'mind liberation'! Acha chuki, wivu, na uchungu, hapo akili yako haitazidiwa na mihemko!Zina uhusiano wa moja kwa moja!Akili yako iruhusu iwe huru na utaelewa nini nazungumza!Lakini kama umekunywa maji ya kijani,ni sawa na kuvaa miwani ya mbao!Nakumbuka alivyomwambia spika awatoe nje wabunge wa upinzani wanaomsumbua ili huku nje awashughulikie,ni muendelezo ule ule!
Majukumu yao ya kupiga na kuvunja wanawake wasio na silaha?shame,ingekuwa nchi za watu hao askari wasingeachwa hivi hivi!Huwezi kutumia nguvu kwa mtu ambaye sio hatarishi kwako,yaani unamshusha mtu kwenye gari unaanza kumshambulia wakati ungeweza kumdhibiti bila hayo mabavu?shame!Askali walitimiza kazi yao, magereza ni mahali nyeti umeambiwa sio pa kwenda kwenda ovyohovyo tu!
Kada aliyekunywa maji ya kijani hawezi kuelewa!Kama unaona haya yanayotendeka ni sawa basi akili yako ina matatizo!Hata jumuiya za kimataifa zimeshatoa report zao mbalimbali juu ya ukandamizwaji wa haki kulikokithiri katika awamu hii ya 5?Hao nao ni Chadema?LHRC nao ni Chadema?Akili za nani sasa zinazotakiwa kuwa huru! Maana ww zako ndio zimekuwa 'fixed' kupakazia tu serikali na kuipaka mafuta tena kwa mgongo wa chupa chadema! Ww ndio unahitaji 'mind liberation'! Acha chuki, wivu, na uchungu, hapo akili yako haitazidiwa na mihemko!
Hiyo inaitwa 'deter technic' unapeleka 'stunning warning' kwa yeyote 'in future' atakayejaribu waza tu kufanya kama walivyofanya hao ajitafakari mara kumi kabla ya maamuzi!Majukumu yao ya kupiga na kuvunja wanawake wasio na silaha?shame,ingekuwa nchi za watu hao askari wasingeachwa hivi hivi!Huwezi kutumia nguvu kwa mtu ambaye sio hatarishi kwako,yaani unamshusha mtu kwenye gari unaanza kumshambulia wakati ungeweza kumdhibiti bila hayo mabavu?shame!
So unapiga kuonesha jamii nini kitatokea iwapo mtu atafanya hivyo!Daah yaani mtu yuko chini ya ulinzi,ila unamfanya wa mfano kwa kumpa kichapo ili wengine waone,daah hizi ni akili au matope?Shame!Hiyo inaitwa 'deter technic' unapeleka 'stunning warning' kwa yeyote 'in future' atakayejaribu waza tu kufanya kama walivyofanya hao ajitafakari mara kumi kabla ya maamuzi!
Ndio lengo la askari na jeshi, linazuia mambo kama hayo yasije tendwa tenda na binadamu mwingine!
Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Unauliza jibu?wameshindwa kwenye nini ?

Umeandika ujinga...rudia kusoma ulichoandika....Umeandika kama msomi wa jalalani......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.
Ndio maana hata polisi wanapofanya makosa na kuvunja haki za binadamu kila mtu hulaani.
Hata Mh Rais katika maadhimisho ya sheria ya mwaka huu 2020 amesisitiza juu ya vyombo vyote vinavyosimamia sheria kutenda haki na kuzingatia maadili.
Viongozi wenu walivamia eneo nyeti na kufanya vurugu kwa mujibu wa kamanda Mambosasa, mlitegemea nini? Askari magereza waliwatuliza na kuwakamata kwa mujibu wa sheria. Mliemfuata ametoka na sasa yupo kwake anakula bata. Kwa nini msingemsubiri nje?
Sasa mnataka huruma kwa wananchi ili iweje? Badala muwe na mikakati ya kujiimarisha maana uchaguzi umefika (japokuwa kiti cha urais mmeshashindwa) mnabaki kutafuta huruma kwa wananchi baada ya kupigwa virungu.
Hivi mbona mmepwaya sana toka Dk Slaa aondoke!
Mbona mnajihangaisha na mtu aliekufa?tangia lini mkaogopa maiti?mbona inaonekana mnawaogopa zaidi ya alivyokuwepo dr Slaa?Hakuna raia wa Tanzania anaependa mtu kuonewa au kufanyiwa unyama ambao upo kinyume na sheria za nchi hii.