CHADEMA public sympath haitawasaidia, kama kushindwa mmeshashindwa

Huu ndiyo unyani wa ukweli..wazungu awakosea ata siku mmoja.Wanyama wenye rangi nyeusi awawezi kuitwa binadamu au watu kamili.HALF HUMANS
CORONA imetulinganisha wote, sasa tunatambua kuwa wote ni binadamu.
 
Ww siyo askari na hujui masahibu askari wetu wanayokutana nayo ktk kazi zao! Ww unapowafanya kazi yao iwe ngumu kwa ujinga wako lazima wakuweke kwenye nafasi inayostahili ili siku nyingine mtu pungu kama huyu akijaribu tena ajue kitakachomkuta! Ww hujiulizi askali wachache hawa wanawezaje kuwafanya wananchi watulie wanapokuwepo wachache tu! Ni kwa aina ya kipigo wanachoweza toa endapo utajifanya hamnazo! Kwako hii ita matope lakini kwa askari hii ni kitu muhimu kunusuru upuuzi kama huo baadaye!
Marekani unachapwa risasi za moto kabisa siyo virungu! Jaribu ku'google' ujue!
 
Acha ujinga wako kama unaona kuna haki tuoneshe polisi aliyeshitakiwa kwa kumpiga risasi Akwilina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unadhani hatuoni yanayotokea huko duniani?Ingia youtube uone namna askari wanavyodeal na waandamanaji!Yaani mpaka mwenyewe utashangaa!Huwezi kukuta askari anampiga mtu asiye na silaha na ambaye wameshamdhibiti!Na iwapo watafanya hivyo basi wanachukuliwa hatua!Kuna askari wa kutuliza ghasia USA nitakuwekea clip hapa,alifukuzwa baada ya kuonekana akimpiga ngumi mwanamama aliyekuwa chini ya ulinzi!
Acheni upuuzi,mnatetes upumbavu tu!
 
Hao unaowaamini waende kwanza kuripoti haki za binadamu marekani…wamarekani wenye asili ya kiafrica wanachapa risasi wakiwa hawana siraha na wamejisalimisha! Hao jamaa zenu mbona hatuoni kulipoti popote! Ww kwa ufinyu wa mawazo unafikiri kila kitu kinachoripotiwa hao jamaa zako ni sawa bila kujua kuna 'interest' zao nyuma yake! Wakaripoti ukiukwaji wa haki za binadamu syria, libya, irak nk! Hao ni wahuni kama wahuni wengine. Nchi zao watokazo zinaukiukwaji wa haki za binadamu kuliko hata huku kwetu! Hivyo usiniletee ripoti ya hao jamaa zako ukifiri mie hata nitashtuka!
 
Kwahiyo tuamini tu report ya mambosasa?Acheni ujinga,uzuri hayo wanayosema,watanzania tunayaishi!Sio kwamba ni habari ngeni!Wanachokisema kinashabihiana na hali halisi,wala hatukuhitaji wao watueleze ili tujue,walichokifanya ni kuthibitisha kile ambacho tayari watanzania tunakijua!Aliye kwenye shibe hajui mwenye njaa anakutana na kadhia zipi!Wewe kama kada huwezi kuona wengine wanavyonyanyasika maana weww hujaguswa!
 
Sikiliza hiyo clip kwa umakini "jaduong" na wana kesi mahakamani.Sasa unaleta pindisa mineno
Kesi ngapi za kutengeneza wanazo?
Video ipo na inaonesha wakipigwa.Tuliowahi kufika gerezani tunajua mazingira yalivyo na ni utoto kudai eti walitaka kumchukua kwa nguvu huku tayari ameshalipiwa tena mbele ya ulinzi mkali na mageti ya kufa mtu.
 
Umefuatilia kujua walishambuliwa wakiwa eneo gani? Unajua utaratibu wa kuingia gereza lile ukoje?
 
Ukada upo moyoni mwa mtu! Tunapita na kufanya kazi zetu bila kubugudhi wengine wala kuwapa nafasi askari kufanya mazoezi ya viungo kupitia miili yetu! Hivyo ndivyo tumekuwa tunaishi! Kutii sheria pasi shuruti! Kwa sababu usipotii kwa hiari utalazimishwa tu kutii kwa lazima! Sasa kwanini u'tempt fate'! Mwenye hekima akiona hatari hujihifadhi!
 
Kama tuamini au tusiamini hilo halinihusu! Nachosema, hao jamaa ambao ripoti zao unazihusudu mimi siwaamini hata nucta! Ni wapuuzi tu kama walivyowapuuzi wengine! Wanaripoti ubaya wa taifa letu kana kwamba mataifa yao wanaishi kama maraika wa Mungu aliyehai! Ni wanafiki tu na ripoti zao hazina mashiko kwangu!
 
Wengine nyie ni Tomasso,mpaka siku utakapoonja ladha ya kuwa huru katika nchi yako utaelewa tulikuwa mahali gani!Kwasasa huwezi kutambua,nakuombea maisha marefu ili uje ushuhudie siku moja Tanzania iliyo huru yenye upendo na amani,achana na hii ya mkoloni mweusi ambapo kiwango cha chuki baina watu kinazidi kuongezeka!Majanga kwa wengine ni furaha kwa wengine!
 

Una akili za kushikiwa, hebu tulia na hii kwanza!
 
Kinachokuuma ni kuwa wanareport yanayotokea kwetu wakati na wao wana yakwao?Hapa ndipo ufinyu wako wa fikra ulipo,unaambiwa mwanao mwizi na wewe unasema hata wa kwako naye mwizi!Crap!
 
Kinachokuuma ni kuwa wanareport yanayotokea kwetu wakati na wao wana yakwao?Hapa ndipo ufinyu wako wa fikra ulipo,unaambiwa mwanao mwizi na wewe unasema hata wa kwako naye mwizi!Crap!
Crap ni ww unakuwa na ufinyu wa kuelewa nachokisema!
 

Una akili za kushikiwa, hebu tulia na hii kwanza!

Angalia huko mnakofikiria kupo salama mambo yanayotokea!
Kwetu kupo pouwa ukilinganisha na makwao! Hivyo tutapambana na hali zetu wenyewe, kwa njia zetu wenyewe!
 
Unajaribu kusemaje kwa mfano?

Nachotaka kusema, hao kina Mdee wangetoka pale kwenye viunga vya magereza kwenye 'body bags' kama ingekuwa ni marekani kwa police brutarity ya huko! Hivyo kuvunjwa mikono tu ni huruma na weledi wa police wetu!
 
Kwan cheaf unahis hawajui kinacho endelea wanajua Sana sema ndio ivyo hawawez kuacha alafu walale njaa Kwan siasa ni ajira zao

Angalia huko mnakofikiria kupo salama mambo yanayotokea!
Kwetu kupo pouwa ukilinganisha na makwao! Hivyo tutapambana na hali zetu wenyewe, kwa njia zetu wenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Angalia huko mnakofikiria kupo salama mambo yanayotokea!
Kwetu kupo pouwa ukilinganisha na makwao! Hivyo tutapambana na hali zetu wenyewe, kwa njia zetu wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…