Hata yeye mwenyewe anajua kuwa hana uhalali wowote wa kuongoza. Anajua kabisa sehemu yake halali kwa uovu alioutenda, kuua maelfu ya watu, akihurumiwa sana ni kifungo cha maisha. Mwenzake wa kule Bangladesh aliyetenda uovu pungufu ya huu wa kwake amehukumiwa kifo.