CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
IMG_20210825_172155.jpg
 
Yataka moyo!

Anyway, CHADEMA are civilised people.

This also is a sign of political maturity-high level of political maturity.

Mbowe hajajenga chama tu, bali kajenga na viongozi/wanasiasa bora ambao hata wapinzani wetu wamewaazima.

Great leader of all time.
 
CHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimmhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
hawa wahuni nia yao sio nzuri kwa nchi, wanafurahia na kushadadia vitendo vya uvunjifu wa amani, wafuatilieni kwa karibu sana
 
CHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimxhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
Tuliwambia siku zote. Amani ikitoweka hamtakuwa salama hata nyinyi wenye mizinga na mabomu
 
hapa Chadema hamjajipanga! kwani huyo hizo Smg alikuja nazo si kapora hapohapo eneo la tukio? barua yenyewe ipo ki kejelikejeli
Mkuu kutoa pole tu unataka watu wafanya uchunguzi? Hapa tumetoa pole na rambi rambi. Jesho litafanya uchunguzi kiweledi
 
Sirro na jeshi lake nawaweka kuwa suspected no 1.
Hapo jamaa alipokuwepo ni 100 kutoka nyumba ya Diwani Athuman

Mita 200 ofisi ya usalama wa Taifa
Akauua polisi wawili kwa pistol/bastola then akachukua bunduki zao ?
Bado akaua mlinzi wa kampuni binafsi halafu tena akawa anaongoza msafara wa magari ya kiraia .
Yeye alikuwa anataka tu polisi
Kwa nini ?
 
... "Bwana ametoa, Bwana ametwaa" ni sawa na mbingu na ardhi kwa tukio lile hususan sterling wa tukio! Jifunzeni context ya tukio na kutumia proper wording or delivering appropriate message.
Huo ni mtazamo wako tena wenye mrengo wa chuki na upande huo Kama kawaida yako.
 
Back
Top Bottom