4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
-
- #21
Lengo, ni moja tu tufungwe wote, maana hata mwenzetu alietangulia kuwekwa huko na uonezi , na police wanaitaka chadema/ Sasa watuweke wote ndani au wafuate sheria, why MMOJA awe ndani KWA kile twakigania wengine tuwe huru, haiwezakanikaLengo ni nini hasa? Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema?
I mean lazima kuwepo na higher goal worthy of sacrifice. Watu tupo tayari hata kufa kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya dini na hata kwa ajili ya mke na watoto. But come on, mtu ujitese kwa ajili ya mbowe? chadema? F****!
Haya Slaa alishawahi kuvunjwa hadi mkono kwa ajili ya mbowe, alipata nini?
Hatujilazi police kwamba bila sababu, sababu wanatuonea Sana chadema ,nasi tuko tiyari kufungwa , sio wafungwe wachache tu ,bali tufungwe wote, maana hata wale walioko ndani wapo KWA hoja moka tu ,tetea taifa basi , mfano Mbowe anakosa nini katika Maisha yake ya KILA siku?Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema? Aanze Yericko Nyerere,kipind cha maandamano ya mange, Yericko Nyerere Alihamasisha ,siku ya tukio akajificha uvunguni
Thats nimesema MPANGO uwe wazi ,dunia ijue na watz wajue ,kupiga risasi zikakupata na ukafa sio shida ,shida na kulala kwenye kunguni bila hatiaVipi police wakipiga risasi hewani badala ya kuelekea juu zikakata kona zikatua kwenye vichwa vya makamanda wote 3 huoni kuwa chama kitakuwa kimepoteza nguvu kubwa ya kukipigania chama?maana yake watu tusikariri kuwa kwa sababu kuna kukamatwa na kuwekwa lock up pia tusisahau kuwa kuna risasi za polisi zinazokata kona na kutua vichwani mwa wananchi na vichwani.
Wanaowekwa ndani wanawekwa ndani kwa sababu ya upumbavu wao tu. Eti tunapambania katiba mpya, (in gwajiboy's voice) kwani katiba ya zamani ina shida gani? Eti tunataka kuikomboa Tanzania, kuikomboa kutoka kwa nani?Lengo, ni moja tu tufungwe wote, maana hata mwenzetu alietangulia kuwekwa huko na uonezi , na police wanaitaka chadema/ Sasa watuweke wote ndani au wafuate sheria, why MMOJA awe ndani KWA kile twakigania wengine tuwe huru, haiwezakanika
Ndio ni upumbavu kisa katiba mpya,ila wewe sio mjinga kisa waona katiba mpya sio ya maana, una akili kweli weweWanaowekwa ndani wanawekwa ndani kwa sababu ya upumbavu wao tu. Eti tunapambania katiba mpya, (in gwajiboy's voice) kwani katiba ya zamani ina shida gani? Eti tunataka kuikomboa Tanzania, kuikomboa kutoka kwa nani?
Mwaka 2015 chadema ilishinda majimbo mengi ikawa na wabunge kibao bungeni. Hayo majimbo waliyoshinda chadema yana maendeleo gani mapya yanayotuonjesha kwamba nchi nzima ikitawaliwa na chadema italeta kipya tofauti na cha zamani?
Ndio tunataka wanachadema wote watuweke ndani maana Ndo raha ya jeshi la police KWA Sasa,hata wakati uliopitaHii pia ni mbinu ya kisiasa?
Mbowe anakosa nini katika maisha yake ya kila siku? Anakosa vingi, ndio maana hata uenyekiti tu kuuachia anapata tabu sana. Mwanzoni tulipokuwa tunakisupport chadema enzi zile tulifanya hivyo tukiamini katika nguvu ya hoja kinzani katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu mbele.Hatujilazi police kwamba bila sababu, sababu wanatuonea Sana chadema ,nasi tuko tiyari kufungwa , sio wafungwe wachache tu ,bali tufungwe wote, maana hata wale walioko ndani wapo KWA hoja moka tu ,tetea taifa basi , mfano Mbowe anakosa nini katika Maisha yake ya KILA siku?
Mbowe anakosa nini katika maisha yake ya kila siku? Anakosa vingi, ndio maana hata uenyekiti tu kuuachia anapata tabu sana. Mwanzoni tulipokuwa tunakisupport chadema enzi zile tulifanya hivyo tukiamini katika nguvu ya hoja kinzani katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu mbele.
Tulipokuja kustuka kwamba wenzetu wametegesha tu saccoss la kupata ruzuku ndio utwambie tujilaze mahabusu kisa chadema?
Machame style.hii style ya wapi hii.......hahahahhaha
We ACHA izo CCM anzia msingi mpaka juu, NI MAFISADI PAPA ,na Mungu anasema atwapa stahili yaoMachame style.
Mkuu huko kwenu mna balaa sana hahahaahahah.Hii pia ni mbinu ya kisiasa?
Hahaaha watu wamechoka sasa hamna namna.Mkuu huko kwenu mna balaa sana hahahaahahah.
Kijana wako kaja na mbinu ya kuchkua nchi hahaahahahahahahaha
Walikuwa wakipiga hewani zikakata kona zikatua kwenye vichwa vya makamanda watatuVipi police wakipiga risasi hewani badala ya kuelekea juu zikakata kona zikatua kwenye vichwa vya makamanda wote 3 huoni kuwa chama kitakuwa kimepoteza nguvu kubwa ya kukipigania chama?maana yake watu tusikariri kuwa kwa sababu kuna kukamatwa na kuwekwa lock up pia tusisahau kuwa kuna risasi za polisi zinazokata kona na kutua vichwani mwa wananchi na vichwani.
Sana aiseee. Mpaka vijana wetu wanawaza city vya ajabu namna hii. But the bottom line ambayo tunatakiwa tujue ni kwamba maendeleo inatakiwa mtu upambane binafsi kwanza serikali inafanya kidogo tu sehemu yake.Hahaaha watu wamechoka sasa hamna namna.
[emoji23] [emoji23] yn namm niliwaz pngne ameamua kuimodify kdg kumbe chengaNikajua unaleta formula ya Hamza.
Funguka jombaaa!
Kwema sana. Ila sisi tunaopambana kuhusu haki ndio tuna maisha mazuri. Ukiachana na wenye maisha mazuri sana wanaokandamiza haki za wengine. Class ya Hohe hahe hawana habari na swala la demokrasia na maendeleo maana kwao kupata mlo tu ni issue. Haya mengine kwao ni makubwaSana aiseee. Mpaka vijana wetu wanawaza city vya ajabu namna hii. But the bottom line ambayo tunatakiwa tujue ni kwamba maendeleo inatakiwa mtu upambane binafsi kwanza serikali inafanya kidogo tu sehemu yake.
Vipi lakini kwema???