CHADEMA, sasa twende na mfumo wa 1 by 3; tumechoka sasa

Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa

CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi

Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.

Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua

MAPENDEKEZO

Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa

MAANA YAKE
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie

Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP

Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao

MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU

THANKS
Mawazo ya kijinga sana haya yakitokea kwa watu waliokata taama na kwa maana hiyo wako tayari kufanya ugaidi.

Siku mkifanya hivi mtambue kwamba makosa ya UGAIDI, UHAINI na UHUJUMU UCHUMI yatawahusu.

Msiwaponze vijana na akina mama bure kwa tamaa za madaraka
 
Wewe ni mpuuzi na limbukeni, why hukemei hao police wanachotufanyia ,CHADEMA? mawazo ya kijinga wakati wanyamazia ujinga wa police,?

Sikia hapa hakuna ufunjifu wa amani ,kwani kwenda kulala au piga magoti KWa kuomba sie CHADEMA watuweke ndani ni kosa ? Basi Kama ni kosa tendeni haki,

Watu wapo kwenye mikutano ya ndani mnawakamata,mikutano ya wazi mmezuia kinyume na taratibu,na sheria ,tunasema tunajileta wenyewe mkamatapo wenzetu NASI mtufunge hutaki,

Sasa hii tunaitaje , Kama sio ushamba,leo mmekamata watu wetu MARA ,mwenyekiti mmempa kesi ya kijinga kisa katiba mpya

Una akili kweli wewe, ukijibu tena ugoro nakupa unachostahili pitia hapa jf sinaga mchezo
 
Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa

CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi

Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.

Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua

MAPENDEKEZO

Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa

MAANA YAKE
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie

Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP

Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao

MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU

THANKS
Eti hawa ndiyo great thinkers wa Chadema!!! Hovyo kabisa. Chadema imekwisha
 
Chonjo tu mmegoma na kumuunga mkono gwajiboy

USSR
 
Mbowe yuko ndani hujajipeleka kuonesha mfano unakuja kuongea upumbavu hapa 😄😄.

Unfortunately nyie hamna hoja za nguvu kushawishi hata wanaojiita wafuasi wenu ndio maana mnapuuzwa.
 
Ccm mnampenda Sana Mbowe ,mnatamani awe Mwenyekiti wenu , mwamba anawapeleka puta mpaka mna mpa kesi ya UGAIDI shame at you
 
Lengo ni nini hasa? Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema?

I mean lazima kuwepo na higher goal worthy of sacrifice. Watu tupo tayari hata kufa kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya dini na hata kwa ajili ya mke na watoto. But come on, mtu ujitese kwa ajili ya mbowe? chadema? F****!

Haya Slaa alishawahi kuvunjwa hadi mkono kwa ajili ya mbowe, alipata nini?
Akili yako finyu. Unaichukulia Cdm ni Mbowe na si chama !!. Kama ni Mbowe tu mngehangaika kuwapora kura na haki zao zingine ?!
 
Chama hakina mwelekeo kinaendeshwa kwa remote control ya matukio au watu maradical wanaowazuga wapo pamoja kumbe wana lengo lao. Kigogo kawapeleka wee wamekuja kugutuka to o late sasa wapo akina maria sarungi , fatuma Ponda na yule yule aliyekuja na.mzee wa.manvi akawatelekezea akawa anazunguka kwenye kampeni na bwana ubeligiji akiwa anatoa dua za ajabu ajabu kabisa juzi tena huyo huyo kaonekana ndio.msemaji wa familia ya lile gaidi. Nchi imejaa wanafiki hiii
Punguza hasira wewe, fisadi papa
 
Hata sijui wanatumia vinywaji gani vya ajabu ajabu asubuhi asubuhi

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nyie si mwala tausi, Ndo maana mwajitapa ,mda wenu UMEKWISHA,na Mungu amewakataa,ni swala mda mtaondoka
 
Ulimuona akichanja ,huyu hayupo kwenye database ya kitaifa kabisa

USSR
USSR mbona wajitoa ufaham mkuu, nilifikili kidogo ccm imebaki angalau na watu Makin Kama wewe, Sasa unaniangusha,karibu CHADEMA ,CCM Chama Cha kualibu vipaji
 
[emoji23] [emoji23] yn namm niliwaz pngne ameamua kuimodify kdg kumbe chenga
Ya HAMZA mmeyazoea ccm sio CHADEMA,nashangaa why Msajili wa vyama amekaa Kimia kukifuta Chama Cha CCM kinafuga MAGAID ,police tiyari wamesema HAMZA alikua gaidi, Sasa Msajili wasubili nini kukifuta
 
Tunashukuru ,angalau wewe una akili upo tiyari kutupokea, tutakua wenyewe,ila msitupe kesi za UGAIDI, na ujambazi
Uzuri wa nchi yetu correctional facilities huwa hazijai. Karibuni ili tuondoe kelele na fujo mitasni.
 
Back
Top Bottom