CHADEMA, sasa twende na mfumo wa 1 by 3; tumechoka sasa

Kwema sana. Ila sisi tunaopambana kuhusu haki ndio tuna maisha mazuri. Ukiachana na wenye maisha mazuri sana wanaokandamiza haki za wengine. Class ya Hohe hahe hawana habari na swala la demokrasia na maendeleo maana kwao kupata mlo tu ni issue. Haya mengine kwao ni makubwa
This is a big discussion mkuu.

You have got to know how to play your cards right.
 
Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa

CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi

Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.

Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua

MAPENDEKEZO

Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa

MAANA YAKE
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie

Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP

Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao

MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU

THANKS
Tuzidishe na hasira dhidi yao.
 
Mtajisumbua tu kuumiza Miili yenu, vita hupiganwa kiroho Sasa nyinyi mnalazimisha mkaumize Miili yenu, kama mtu unaonewa pambana kiroho bila kelele.
 
Kwani wewe huo mwili wako si ni takataka Kama sie, au wajiona hutokufa,

Sikia utakufa Kama sie, utazikwa Kama sie ,utafukiwa udongo Kama sie, ACHA ujinga mungu ankuonya na sio ombi ni kazima,asema bwana
 
Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa

CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi

Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.

Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua

MAPENDEKEZO

Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa

MAANA YAKE
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie

Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP

Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao

MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU

THANKS
Bahati nzuri mapendekezo yenu huwa hayatimiziki...Lissu ( huyu ni makamu mwenyekiti wa chama chenu) alipendekeza na kutangaza kuwa hakuna kumuwekea Mbowe dhamana wala mawakili na aliamini kwa kufanya hivyo serikali itamuachia....Yaliyofuata yanafurahisha....Kuloga vino..kutenda vino!
 
Mh mbowe kaweka mawakili wake ,ambao wameunga na mawakili wapenda haki
 
Wewe ni mpuuzi na limbukeni, why hukemei hao police wanachotufanyia ,CHADEMA? mawazo ya kijinga wakati wanyamazia ujinga wa police,?

Sikia hapa hakuna ufunjifu wa amani ,kwani kwenda kulala au piga magoti KWa kuomba sie CHADEMA watuweke ndani ni kosa ? Basi Kama ni kosa tendeni haki,

Watu wapo kwenye mikutano ya ndani mnawakamata,mikutano ya wazi mmezuia kinyume na taratibu,na sheria ,tunasema tunajileta wenyewe mkamatapo wenzetu NASI mtufunge hutaki,

Sasa hii tunaitaje , Kama sio ushamba,leo mmekamata watu wetu MARA ,mwenyekiti mmempa kesi ya kijinga kisa katiba mpya

Una akili kweli wewe, ukijibu tena ugoro nakupa unachostahili pitia hapa jf sinaga mchezo
Usilete vitisho eti nisijibu, hii inathibitisha mnafadhili UGAIDI, UHAINI, UTEKAJI, MAUAJI na UKWEPAJI KODI.

Mkazo: Wewe ni mharifu na uharifu huo utakunasa siku sio nyingi, endelea kutishia

Leta tena majibu yako ya kibangi
 
Back
Top Bottom