Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Mawazo ya kijinga sana haya yakitokea kwa watu waliokata taama na kwa maana hiyo wako tayari kufanya ugaidi.Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa
CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi
Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.
Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua
MAPENDEKEZO
Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa
MAANA YAKE
MΓ ana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie
Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP
Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao
MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU
THANKS
Wewe ni mpuuzi na limbukeni, why hukemei hao police wanachotufanyia ,CHADEMA? mawazo ya kijinga wakati wanyamazia ujinga wa police,?Mawazo ya kijinga sana haya yakitokea kwa watu waliokata taama na kwa maana hiyo wako tayari kufanya ugaidi.
Siku mkifanya hivi mtambue kwamba makosa ya UGAIDI, UHAINI na UHUJUMU UCHUMI yatawahusu.
Msiwaponze vijana na akina mama bure kwa tamaa za madaraka
Eti hawa ndiyo great thinkers wa Chadema!!! Hovyo kabisa. Chadema imekwishaNaenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa
CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi
Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.
Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua
MAPENDEKEZO
Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa
MAANA YAKE
MΓ ana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie
Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP
Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao
MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU
THANKS
Eti Hawa ndio MAFISADI PAPA wa ccm, Mungu amewalaani Sana , shame at youEti hawa ndiyo great thinkers wa Chadema!!! Hivyo kabisa. Chadema imekwisha
Hii style ,inaiwa 47 mbatizaji,why mnatunyanya kwenye nchi yetu nyie ccm na police wenuhii style ya wapi hii.......hahahahhaha
Chonjo tu mmegoma na kumuunga mkono gwajiboyNaenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa
CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi
Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.
Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua
MAPENDEKEZO
Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa
MAANA YAKE
MΓ ana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie
Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP
Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao
MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU
THANKS
Kwani ccm ipo ,? KWA Sasa ipo police na CHADEMA, ccm ilisha kufaEti hawa ndiyo great thinkers wa Chadema!!! Hivyo kabisa. Chadema imekwisha
Ya HAMZA WANAIJUA CCM , SIO CHADEMANikajua unaleta formula ya Hamza.
Funguka jombaaa!
Mbowe yuko ndani hujajipeleka kuonesha mfano unakuja kuongea upumbavu hapa ππ.Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa
CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi
Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.
Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua
MAPENDEKEZO
Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa
MAANA YAKE
MΓ ana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie
Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP
Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao
MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU
THANKS
Sie tumechanja, mfano ni Mwenyekiti wetu ambae mmempa kesi ya UGAIDI , mungu anawonaChonjo tu mmegoma na kumuunga mkono gwajiboy
USSR
Ccm mnampenda Sana Mbowe ,mnatamani awe Mwenyekiti wenu , mwamba anawapeleka puta mpaka mna mpa kesi ya UGAIDI shame at youMbowe yuko ndani hujajipeleka kuonesha mfano unakuja kuongea upumbavu hapa ππ.
Unfortunately nyie hamna hoja za nguvu kushawishi hata wanaojiita wafuasi wenu ndio maana mnapuuzwa.
Akili yako finyu. Unaichukulia Cdm ni Mbowe na si chama !!. Kama ni Mbowe tu mngehangaika kuwapora kura na haki zao zingine ?!Lengo ni nini hasa? Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema?
I mean lazima kuwepo na higher goal worthy of sacrifice. Watu tupo tayari hata kufa kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya dini na hata kwa ajili ya mke na watoto. But come on, mtu ujitese kwa ajili ya mbowe? chadema? F****!
Haya Slaa alishawahi kuvunjwa hadi mkono kwa ajili ya mbowe, alipata nini?
Punguza hasira wewe, fisadi papaChama hakina mwelekeo kinaendeshwa kwa remote control ya matukio au watu maradical wanaowazuga wapo pamoja kumbe wana lengo lao. Kigogo kawapeleka wee wamekuja kugutuka to o late sasa wapo akina maria sarungi , fatuma Ponda na yule yule aliyekuja na.mzee wa.manvi akawatelekezea akawa anazunguka kwenye kampeni na bwana ubeligiji akiwa anatoa dua za ajabu ajabu kabisa juzi tena huyo huyo kaonekana ndio.msemaji wa familia ya lile gaidi. Nchi imejaa wanafiki hiii
Wambie ukweli ,MAFISADI papaAkili yako finyu. Unaichukulia Cdm ni Mbowe na si chama !!. Kama ni Mbowe tu mngehangaika kuwapora kura na haki zao zingine ?!
Ulimuona akichanja ,huyu hayupo kwenye database ya kitaifa kabisaSie tumechanja, mfano ni Mwenyekiti wetu ambae mmempa kesi ya UGAIDI , mungu anawona
Nyie si mwala tausi, Ndo maana mwajitapa ,mda wenu UMEKWISHA,na Mungu amewakataa,ni swala mda mtaondokaHata sijui wanatumia vinywaji gani vya ajabu ajabu asubuhi asubuhi
πππππππππππππππππ
USSR mbona wajitoa ufaham mkuu, nilifikili kidogo ccm imebaki angalau na watu Makin Kama wewe, Sasa unaniangusha,karibu CHADEMA ,CCM Chama Cha kualibu vipajiUlimuona akichanja ,huyu hayupo kwenye database ya kitaifa kabisa
USSR
Ya HAMZA mmeyazoea ccm sio CHADEMA,nashangaa why Msajili wa vyama amekaa Kimia kukifuta Chama Cha CCM kinafuga MAGAID ,police tiyari wamesema HAMZA alikua gaidi, Sasa Msajili wasubili nini kukifuta[emoji23] [emoji23] yn namm niliwaz pngne ameamua kuimodify kdg kumbe chenga
Uzuri wa nchi yetu correctional facilities huwa hazijai. Karibuni ili tuondoe kelele na fujo mitasni.