CHADEMA, sasa twende na mfumo wa 1 by 3; tumechoka sasa

This is a big discussion mkuu.

You have got to know how to play your cards right.
 
Tuzidishe na hasira dhidi yao.
 
Mtajisumbua tu kuumiza Miili yenu, vita hupiganwa kiroho Sasa nyinyi mnalazimisha mkaumize Miili yenu, kama mtu unaonewa pambana kiroho bila kelele.
 
Mtajisumbua tu kuumiza Miili yenu, vita hupiganwa kiroho Sasa nyinyi mnalazimisha mkaumize Miili yenu, kama mtu unaonewa pambana kiroho bila kelele.
Kwani wewe huo mwili wako si ni takataka Kama sie, au wajiona hutokufa,

Sikia utakufa Kama sie, utazikwa Kama sie ,utafukiwa udongo Kama sie, ACHA ujinga mungu ankuonya na sio ombi ni kazima,asema bwana
 
Bahati nzuri mapendekezo yenu huwa hayatimiziki...Lissu ( huyu ni makamu mwenyekiti wa chama chenu) alipendekeza na kutangaza kuwa hakuna kumuwekea Mbowe dhamana wala mawakili na aliamini kwa kufanya hivyo serikali itamuachia....Yaliyofuata yanafurahisha....Kuloga vino..kutenda vino!
 
Mh mbowe kaweka mawakili wake ,ambao wameunga na mawakili wapenda haki
 
Usilete vitisho eti nisijibu, hii inathibitisha mnafadhili UGAIDI, UHAINI, UTEKAJI, MAUAJI na UKWEPAJI KODI.

Mkazo: Wewe ni mharifu na uharifu huo utakunasa siku sio nyingi, endelea kutishia

Leta tena majibu yako ya kibangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…