CHADEMA si chama cha wananchi, ni kikundi tu cha watu wanaotaka kushika madaraka

Mapumbavu ya Lumumba, ni kawaida yao, bila kuitaja CHADEMA au Mbowe hawaendi haja!
 
Chama chochote cha siasa lengo lake KUU ni kushika madaraka ya kuongoza dola, period. Kama ni suala la kutetea wakulima, tayari hao wana vyama vyao vya ushirika nk., kama ni wafanyakazi, tayari wana vyama vyao vya wafanyakazi etc..
Chama cha siasa kikishika dola, kinaviwezesha na kuvipa uhuru hivi vyama vya wananchi kufanya kazi ya kuwatetea wanachama wake. Chama kisichokuwa na lengo kuu la kushika madaraka, siyo chama cha siasa - labda kitakuwa chama cha mazingira, chama cha wafugaji, chama cha wakulima wa Korosho, chama cha wabeba mizigo etc.
Kama kimombo kinapanda, nakuwekea hapa maelezo ya ziada kwa ufupi

Political party, a group of persons organized to acquire and exercise political power.

What does political party mean?
A political party is an organized group of people or bodies who seek to capture political power through an election in order to run the affairs of a country. It often puts forward candidates for public office.

Parties and political power

Whether they are conservative or revolutionary, whether they are a union of notables or an organization of the masses, whether they function in a pluralistic democracy or in a monolithic dictatorship, parties have one function in common: they all participate to some extent in the exercise of political power, whether by forming a government or by exercising the function of opposition, a function that is often of crucial importance in the determination of national policy.
 
Kwa hiyo Ccm ni kikundi Cha mbuzi?. Yaani akili za watu wengine sijui zikoje.
Na CCM ikitoka CDM itafanya nini? Maana inaonekana wao akili yao ni kushika tu madaraka.
Ccm wameshika nini? Siyo madaraka?
 
Mleta mada nikuambie tu kuwa ni hayawani au mwendawazimu tu anaeweza kuamini au kuandika huu upuuzi.
1.Rejea ucahaguzi wa serikali za mitaa mliopora hofu yenu ilikuwa ni CDM
2.Uchaguzi wa 2020 mliopora ushindi na unyanyasaji mkubwa mliofanya hofu kubwa ilikuwa ni CDM
HATA UBAMBIKIAJI KESI ZA UGAIDI, HOFU YENU NI CDM
Ktk hali ya kawaida CDM ina watu wa mapenzi ya moyoni na wasomi kuliko ccm ambayo mtaji wake ni watu wasio na shule.
 
Lengo kuu la chama cha siasa ni kushida madaraka
Madaraka ni nyenzo tu ya kutekeleza sera zao. Hii ya kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka linawapofusha.
 
Kwamba mshike madaraka kwanza ndiyo muanze kutetea wananchi!! Unafikiri wapigania uhuru wangekuwa na mtazamo huo uhuru ungepatikana? Wananchi wangewaunga mkono?
 
Chadema inasingiziwa kila baya, eti chadema wammekunya kinyesi kilichokutwa mwezini na astronomer wa marekani mwaka 1979
 
Rejea ripoti ya TWAWEZA hadi bosi wa Twaweza akaulizwa uraia wake.

Hawa mbogamboga wamezoea kusifiwa lkn siku wanapo kusolewa basi siku hiyo ni visasi.
 
Nguvu wanazotumia kupigania katiba mpya na tume huru wangezitumia kupigania wakulima, wafanyabiashara na makundi mengine. Pengine tayari wangekuwa wamepata hiyo tume, katiba na hata madaraka wanayosema ndiyo lengo lao.
 
Asante
 
Duuuhh... Madhara ya kichwa kujaa kamasi[emoji2960]
 
Mwenye akili hawezi kifikiria habari ya madaraka Bali mstakabali wa Taifa Kwa kuzingatia hali za watu. Andiko lako hili halina mashiko na halifai
 
Mwenye akili hawezi kifikiria habari ya madaraka Bali mstakabali wa Taifa Kwa kuzingatia hali za watu. Andiko lako hili halina mashiko na halifai
Mbona umasema nilichoandika
 
Lengo nini sasa?
Kuunda sera za jinsi nchi inavyopaswa kuendeshwa. Madaraka ni njia mojawapo ya kufanya sera hizo kutekelezwa. Pia inaweza fanya sera zake zitekelezwe bila hata kuwa na madaraka.

Wanasema CDM ina wanachama 7m. Hawa wote siyo kwamba wanataka kushika madaraka, wanataka tu sera walizokubaliana kama chama zitekelezwe. Hawajaingia kwenye chama wakiwa na lengo la kushika madaraka, lengo lao ni sera zenye manufaa kwao zitekelezwe. CDM wanaacha sera zenye manufaa kwa wananchi na kushikilia sera za kuwanufaisha wao, kushika madaraka.
 
Sawa Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…