CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

ccm tuliwaonya hamkutaka kusikiliza..Lijualikali kaiingiza ccm mkenge na Takukuru yao...jamani chadema ni mpango wa mungu...ohoo shauriyenu....mama ntilie wa kawe upo?? Mgonjwa mtambuka unaendeleaje na dozi ?? Mashahidi wa Yehova bado tu una akili ya kurithi majengo na mali zilizomo baada ya kiama ??.. Rutashobya vp senene huku muleba ?? ...achaneni na chadema itawatoa kibyongo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wameyataka wenyewe,CAG alipita huko,wangeangalia vitabu kuona kama kuna viashiria vya Ufisadi ndipo wafanye uchunguzi wa kina.Informer ajieleze alikuwa ana malengo gani?
Bandugu, ukihojiwa na Takukuru ikaonekana hamna sababu za wewe kushtakiwa, hapo inakuwaje aibu ya Takukuru?!. Hiyo ndio kazi yao kuangalia. Kwa mtazamo huo, hata mahakama ikimuona mtu hana hatia, basi tutasema aibu ya mahakama!
 
"Baada ya kubaini ile imani yenye mashaka tuliyowapatia Takukuru kuchunguza walichodai matumizi mabaya ya michango ya wabunge wa Chadema, imeanza kudhihirika sio sahihi, kuna viashiria wazi kwamba Takukuru kuichunguza @ChademaTz kuna malengo mengine tofauti ya kisiasa" @jjmnyika https://t.co/PoQm8Qpzpw
Hapa somo la Tundu Lissu limewaingia."Mmenikamata kwa kesi ya uchochezi sasa mkojo wa nini?"Chadema wanatakiwa wawe na tahadhari kuu kipindi hiki,sidhani kama Msajili atawaacha salama.
 
Takukuru wamewaambia chadema wakae kimya wasubiri matokeo ya uchunguzi

 
Takukuru nao wamekua vilaza wameenda CDM mpaka Sasa no majibu,
Kwa hiyo tunataka majibu toka walikoenda kukagua na pia wakague na cuf na ccm.
 
Takukuru nao wamekua vilaza wameenda CDM mpaka Sasa no majibu,
Kwa hiyo tunataka majibu toka walikoenda kukagua na pia wakague na cuf na ccm.

Hivi Taasisi Nyeti kama ya TAKUKURU huwa inashurutishwa na Mswahili Mmoja tu kutoa Taarifa / Majibu au wana Utaratibu wao wa Kiutendaji?
 
Back
Top Bottom