Wameyataka wenyewe,CAG alipita huko,wangeangalia vitabu kuona kama kuna viashiria vya Ufisadi ndipo wafanye uchunguzi wa kina.Informer ajieleze alikuwa ana malengo gani?Aibu kubwa kwa TAKUKURU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameyataka wenyewe,CAG alipita huko,wangeangalia vitabu kuona kama kuna viashiria vya Ufisadi ndipo wafanye uchunguzi wa kina.Informer ajieleze alikuwa ana malengo gani?Aibu kubwa kwa TAKUKURU
Lijualikali alikuwa anatafuta huruma ya CCM akaona awaaminishe kuhusu hiloNi mapema mno kudhani Lijualikali amefeli!
Takukuru bhana duh!CDM ndiyo maana wananchi wanawakuba...working very smart!!
Hongera saana...!! Lijualikali kawaingiza chaka Takukuru akamatwe!!
Hili furuashi kumbe lipoMnyika acha kujihami tulia dawa ikuingie
ile hela ipo imetunzwa mahala kwa lengo zuri na iko salama kabisa ndg yangu,msisikilize maneno ya mtaani.Tuanze na magu atuambie ile 1.5T imeenda wapi?
Ni mapema mno kudhani Lijualikali amefeli!
Bandugu, ukihojiwa na Takukuru ikaonekana hamna sababu za wewe kushtakiwa, hapo inakuwaje aibu ya Takukuru?!. Hiyo ndio kazi yao kuangalia. Kwa mtazamo huo, hata mahakama ikimuona mtu hana hatia, basi tutasema aibu ya mahakama!Wameyataka wenyewe,CAG alipita huko,wangeangalia vitabu kuona kama kuna viashiria vya Ufisadi ndipo wafanye uchunguzi wa kina.Informer ajieleze alikuwa ana malengo gani?
Utasubiri sanaNi mapema mno kudhani Lijualikali amefeli!
Lijua likali mibangi inamsumbuaLijualikali alikuwa anatafuta huruma ya CCM akaona awaaminishe kuhusu hilo
Atasubiri Mnyika!Utasubiri sana
Kama walikubali kutekeleza wito wa kipumbavu basi na wao ni wapumbavuAibu sio kwao, ni kwa aliyewatuma. Wao walitekeleza wito
Hapa somo la Tundu Lissu limewaingia."Mmenikamata kwa kesi ya uchochezi sasa mkojo wa nini?"Chadema wanatakiwa wawe na tahadhari kuu kipindi hiki,sidhani kama Msajili atawaacha salama."Baada ya kubaini ile imani yenye mashaka tuliyowapatia Takukuru kuchunguza walichodai matumizi mabaya ya michango ya wabunge wa Chadema, imeanza kudhihirika sio sahihi, kuna viashiria wazi kwamba Takukuru kuichunguza @ChademaTz kuna malengo mengine tofauti ya kisiasa" @jjmnyika https://t.co/PoQm8Qpzpw
Nini Lijualikali,yupo Mashinji kule.Ngoma bado mbichi.Ni mapema mno kudhani Lijualikali amefeli!
Muulize Mnyika, zile video za kuvamiwa kwa Mbowe ameshaziweka hadharani?Aibu kubwa kwa TAKUKURU
Takukuru nao wamekua vilaza wameenda CDM mpaka Sasa no majibu,
Kwa hiyo tunataka majibu toka walikoenda kukagua na pia wakague na cuf na ccm.
unahitaji majibu au hatua zilizochukiliwaTakukuru nao wamekua vilaza wameenda CDM mpaka Sasa no majibu,
Kwa hiyo tunataka majibu toka walikoenda kukagua na pia wakague na cuf na ccm.