Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ahaaaa. Hapo kwenye kutafuna bil 8 za walipa kodi, kabila la wasukuma linaingia vipi? Bia yetuSiasa za kisukuma zimebuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaa. Hapo kwenye kutafuna bil 8 za walipa kodi, kabila la wasukuma linaingia vipi? Bia yetuSiasa za kisukuma zimebuma.
Wewe ni mjinga kati ya wajinga wengi waliopo kwenye Nchi hii... umemulewa Mnyika alichosema?si dhani kama ni busara kwa chadema kupimana nguvu na taasisi nyeti yenye dhamana kubwa kama TAKUKURU,
kama kweli chadema ni safi hakuna ubadhirifu wowote toeni tu ushirikianao lkn mkianza maneno marefu kama vile mnaonewa italeta picha kuwa kuna jambo mnaficha hamtaki lijulikane, hii sio sawa kabisa kwa chama, chama kina paswa kijisafishe sio kubaki na tuhuma zisizo na majibu yoyote.
huwezi
Manka povu la Nini,itakuwa Joyce mukya wewewewe ni gasho, hata kiswahili fasaha kinakushinda kuandika!.
Kangi ana tuhuma za ufisadi...Fungua Uzi tuijadili
Fungua Uzi wako takajadili hiloKangi ana tuhuma za ufisadi...
Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence*